Kwanini Iran inakatazwa kuwa na Nuclear?

  • Sanctions Impact:
    Enforcement of new and old sanctions limits oil exports, a key revenue source, further exacerbating economic difficulties.
  • Today, April 8, 2025, Iran faces a challenging economic landscape marked by high inflation and currency devaluation, while its military power, though substantial, is constrained by sanctions and a reliance on domestic production.
  • Just to note that quite some educated Iranians do not consider themselves "Islamic people". They consider it a colonization that put a large dent on Persian culture and its development since the Muslim conquest of Persia. That's why you see sentiment like in the meme.
  • During 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion
 
  • Sanctions Impact:
    Enforcement of new and old sanctions limits oil exports, a key revenue source, further exacerbating economic difficulties.
  • Today, April 8, 2025, Iran faces a challenging economic landscape marked by high inflation and currency devaluation, while its military power, though substantial, is constrained by sanctions and a reliance on domestic production.
  • Just to note that quite some educated Iranians do not consider themselves "Islamic people". They consider it a colonization that put a large dent on Persian culture and its development since the Muslim conquest of Persia. That's why you see sentiment like in the meme.
  • During 2023, Iran's economic output was $403 billion, significantly lower than Israel's $509 billion
 
Hahaha na hizo economic difficulty ndio zimewafanya wawe very independent inaitwa ahsante sanctions imewafanya watengeneze vitu vingi wenyewe na kuwa self reliant wao huoni wanaexport zaidi kwa jirani zao na pia wanaexport hadi kwa urusi military drone na missile na wamewea kujitengeneza magari hadi simu jirani zao akina Sausia wanajitengenezea nini silaha zote wanaimport huyo israel.tu nyingi silaha ahsabte USA ,kwenye mafuta largest buyer wa Iranian kwa sasa ni China na March tu ana record high ya kuuza crude oil around 1.8million bpd up kutoka 1.6million bpd ukijumlisha na war on tariff ndio inawapa leverage wachina kutokuenforce hizo sanctions za usa na kuendelea kufanya biashara pamoja shield ya BRICs association ambayo iran ni member . Israel.yeye anapata 3.8billion usd za bure bure annually toka usa wenzao wanazalisha na kujitegemea hawana mbeleko ya kubebwa .The country inajitambulisha kama islamic republic highest authority ni religious leader sasa kukiwa na bunch ya walevi wachache wakisema opinion zao they are not muslim unachoshangaa ni nini ikiwa tu wairan 8000 hadi 9000 ni wayahudi wa asili yaani persian jews na ndani ya iran kuna masinagogue around 25 hayo yote hayaja badilisha kuitwa islamic republic wanajiita hivyo na wanatambulika hivyo kwa kuwa ndivyo mfumo wa taifa lao ulivyo japo wapo dini nyingine kama hao wayahudi ambao ndio largest jews outside israel.kwa hapo.middle east welcome to political science 101.
Last comment level.ya literacy kwao ni 97% halafu wasomi eti hawajiiti waislam vituko vya mwaka acha vioja fanya facts checking kabla ya kuongea kule kwa wairan wanasoma kweli kweli na wale wasomi kindaki ndaki ndio utawakuta wanaongoza mataasisi yao na wanajivunia utaifa wao na dini na culture yao kama sie tunavojivunia utanzania wetu na utamaduni wetu, na kwa kukuelewesha tu largest univecity middle east ipo kwao iran inawanafunzi 1.5million zaidi ya ya watu wanaoishi Arusha mjini kwa syaani wakazi wa Arusha fanya X3. wasomi wale ni wasomi haswa haswa mfano mke wa raisi yule alikuwa professor na lecturer japo wanavaa maguo yale yakujifunika ya wanawake wa kiislamu. Dini yao utamaduni wao kama tu wataliano na vatican kule ukatoliki ndio dini na ndio utamaduni wao na ndio libert yao they chose to be the way they want.
 
Sema wazungu wanaogopa silaha hatari kama nyukilia kuangukiwa kwa watu ambao kumuua kafir kwao prestige
 
Ndio tunapenda waishi hivyo, maana wakiwa free wanasupport ugaidi kwenda kuua watu kwenye mataifa mengine wasio na hatia.
 
Vipi marekani? Yeye sio kichaa au hujui alichokifanya japani? Mpaka leo wanahangaika na madhara ya nyuklia. Dah ? Utoto raha sana.
Kwa hiyo wewe unataka Iran amiliki nyukilia aje afanye ukichaa kama wa Marekani!?
 
 
USA hawana shida na dini ya mtu ila IRAN wanashida sana na dini ya mtu.
 
USA hawana shida na dini ya mtu ila IRAN wanashida sana na dini ya mtu.
Sawa ila kwa nini walimpindua Mohamed Morsi kwa nini hostility zimeanza after 1979 ??? Ila kama wairan wanashida na dini ya mtu ndani ya iran wale wayahudi wairan wangekuwa washawafukuza ila wapo na watu wa dini nyingine pia wapo na peaceful coexistence maadui zake wamefanikiwa kwenye psychoops ya kuaminisha watu hivyo kama zile psychoops za kusema cha mchina kibaya ila kiuhalisia ni opposite .
 
Huyo ni kichaa kipenzi chao
 
Sababu ni whimsical religious country. Hao jamaa siku wakiamka vibaya wanaiwasha dunia nzima kama wana nuclear.
 
U.S ndio taifa pekee mpaka sasa kutumia mabomu hayo hatari kuua watu.

Unafikiri nyuklia unaitumia tu vyovyote vile ukijisikia ? Lakini mwendawazimu mmoja Marekani katika historia ya dunia hakujali lolote alifanya maamuzi hayo ya kiwendawazimu.
USA hakuwa na jinsi. The little Japanese bastards ni aina ya watu relentless wasiosikia wakiamua lao. Ile vita isingeisha bila kupigwa double nukes to oblivion na kuonyeshwa power ya such weapons.

Alafu wajapan sio watu wa kuwaonea huruma, ni mashetani. Search The Nanjing Massacre na Unit 731 YouTube uone unyama na ukatili walioufanya kwa China na raia wake.
 
Ondoa shaka, hawa unaona wanaropoka bila hoja za msingi baada ya miaka 10 - 15 wakishaturn 30 - 35 years wataacha utoto... Trust me ukiona mtu hoja zake zimebase kwenye dini, huyo kama si mtoto, basi ni mwendawazimu
Utoto au wendawazimu? Nina uhakika wewe ni muislamu na unajisikia second hand pain ukiona Iranians (Arabians) wakikandamizwa kwa sababu ya tabia zao za kidini. Maana yake hata ulichokiandika hapo ni kimetokana na udini.

Kuongelea dini hakuepukiki kama mada ni Iran, sio humu tu. Bali nenda popote mtandaoni. Iran ni impulsive religious country, hiyo ni fact.

Lasivyo basi kila mtu atakuwa ni mtoto au mwendawazimu. Sasa jiulize hiyo inawezekana vipi.
 
Vipi marekani? Yeye sio kichaa au hujui alichokifanya japani? Mpaka leo wanahangaika na madhara ya nyuklia. Dah ? Utoto raha sana.
Japan haangaiki na madhara Nuclear. Nagasaki na Hiroshima ni completely habitable as of today. Na Marekani ameisaidia sana Japan to rebuild.

Marekani hakuwa na jinsi zaidi ya kuipiga Japan, au vita isingeisha na watu wengi wangekufa kutoka pande zote.

Japan ni culture oriented country, ku-surrender kwao ni major dishonor, hata baada ya bomu la kwanza waligoma, mpaka walipotandikwa la pili. Alafu wajapan sio watu wa kuwaonea huruma, ni mashetani. Search The Nanjing Massacre na Unit 731 YouTube uone unyama na ukatili walioufanya kwa China na raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…