Sio tatizo mkishashiba mihogo ni kujamba tu bwasheeNiko Tandahimba, na naipangia Iran
Ipo siku naye Ataonja cha motoShida hapo ni kwa nini Iran hawezi kuthubutu kuishambulia Marekani direct, apige kombola pale New York....
Kama Iran anajiweza apeleke mashambulizi moja kwa moja pale California ๐๐๐๐ aache kupiga kambi za jeshi za Trump kwenye nchi za watu.
Iran unaweza kuta akapiga kombola pale Kenya kwenye kambi za jeshi za USA badala ya kutuma kombola pale Miami.
IRAN 9; 2 ISRAMAREKANkwani mpaka sasahivi ngapi ngapi ? Nani anaongoza
Matokeo si ya kweli mkuuIRAN 9; 2 ISRAMAREKAN
Hana huo uwezo, na kama akijaribu atakuwa kawaponza kobazi woteUpo buza kwa mpalange unaipangia Iran cha kufanya๐ฎ