Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni.
Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea?
Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?