Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Waswahili kazi yao kubwa ni kusafiri kwenda nje kwenye stareheYaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni.
Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea?
Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
Tusipepese macho, nchi hii huingia gizani wakati Rais akiwa muislam, ukweli ndio huo, bila kusahau safari za nje. Kwanini tuoneane aibu kuambina ukweli? Ukweli ndio utatuweka huruYaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni.
Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea?
Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
Yuko kwenye biashara ya mafuta.. unategemea atapenda umeme uwe wa uhakika...Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni.
Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea?
Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
Mbona wanasema Sa100 ni raisi wa wakulima?Naandika kwa herufi kubwa I LOVE U JPM.korosho nilizovuna mwaka nakaanga na kufanya tui kwenye mbaazi sijasikia hata siku moja Raisi akitutetea wakulima wa korosho kutokana na bei ya buku ya mwaka huu,Once again I LOVE U JPM ,WE MISS U JPM,RIP MZEE BABA , korosho sasa ni za kutafuna tu mpaka tunaharisha