Huyu anabeba lawama zote mshenzi kabisa kwanza kakwamisha mchakatobwankatiba mpya bila sababu ili kulinda wezi wenzie, pili alimuhujumu sana magufuli ana muongoza samia kama mtoto , huyu mzee akifa nchi itakuwa salama sanaNi kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.
Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
Wakati Nyerere alipoondoa majina ya 'wahuni' (akiwemo kikwete) wasipitishwe kugombea urais 95 ulikuwa hujazaliwa?Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.
Wanaolalamiķa ni wenye hila, wanamwona JK ni kikwazo ktk kutimiza malengo yao ya kihalifuNi kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.
Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
Utatangulia we mbwa koko usiye na alama yyte ktk nchi hiiHuyu anabeba lawama zote mshenzi kabisa kwanza kakwamisha mchakatobwankatiba mpya bila sababu ili kulinda wezi wenzie, pili alimuhujumu sana magufuli ana muongoza samia kama mtoto , huyu mzee akifa nchi itakuwa salama sana
We mbwa mhuni ni mamako hajui ht babako ni nani. JK ameifanyia mambo makubwa sana nchi hii. We bwege nì afadhali ya mbwa.Wakati Nyerere alipoondoa majina ya 'wahuni' (akiwemo kikwete) wasipitishwe kugombea urais 95 ulikuwa hujazaliwa?
Au unadhani huu msamiati wa 'wahuni' katika umeasisiwa na Polepole?
Hahahaaaaaa hakuna kiongozi wa hovyo na mhuni aliyewahi kuongoza nchi zaidi ya kikwete.
Wewe bado hujakua so huwezi mwelewa huyu mhuni na uhuni wake.
Kagame alishawahi sema Kikwete haipendi TanzaniaHuyu anabeba lawama zote mshenzi kabisa kwanza kakwamisha mchakatobwankatiba mpya bila sababu ili kulinda wezi wenzie, pili alimuhujumu sana magufuli ana muongoza samia kama mtoto , huyu mzee akifa nchi itakuwa salama sana
Watu kama wewe mpo wengi sana huko kazole vikindu mmepigika akili hadi mnatukana mama zenu nyau weehMimi ni mbwa mhuni ni mama yangu coz simjui ht baba yangu ni nani. JK ameifanyia mambo makubwa sana ya aibu nchi hii. Mimi bwege nì afadhali ya mbwa.
Ndio katufikisha hapa, ndiye chanzo cha yotee, ndiye aliyetuletea huyu Rais, kwanza anatakiwa akae kwa kutulia kipindi cha Maguful alikuwa haongei chochote lakini sasa hv kwenye mikutano yeye ndio msemaji Mkuu sio huyo Rais wenu. Ninaendelea kuamini kwamba uongozi wa mwanamke yeyote kuna mwanaume ndiye anaemuongoza.Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.
Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
Ni kweli yeye ndiye Rais Msitaafu aliyebakia anaijua Tanzania na anaijua CCM kuliko wengi wetu au niseme wengine wote, katika kukwama au kufanikiwa kwa baadhi ya Mambo utasikia ni ushauri wa Kikwete,
Aah Huyu shujaa alifanya mengi sana mazuri na kwa kuwa anaipenda Tanzania hawezi kuona Mambo yanaharibika akakaa kimya, na sitegemei kwamba anaweza kuwa chanzo cha Mambo yaharibike.
Sasa basi kama lawama na kelele hasi zinazidi si wakati muafaka akae kando apumzike afurahie kustaafu kwake badala ya kubeti sintofahamu ya kesho. Ni wazo tu naomba nisihukumiwe.
MnafikiJe, unajua ni kwa nini hasa wakati wa Utawala wa John Magufuli Bw. Jakaya Kikwete alikuwa yupo kimya Sana na muda wote kabisa alionekana kuwa ni Mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa moyoni mwake? Unazijua sababu???
Mnafiki
Nasikia eti Kikwete ni SHAROBARO?
"Ndiye katufikisha hapa" Kama ndivyo heko kwake; nimebahatika kuishi na kuwaona maRais wote wa Mchi yetu mpaka sasa, Nyerere hatumlaumu kwa kuifungia Nchi kwenye umaskini, Mwinyi hatumlaumu kwa ruksa ya watu kujitafuta, Mkapa halaumiwi kwa kuuza makusanyo ya Taifa, John halaumiwi kwa kuunda utekaji na utesaji japo kuna mengi mazuri ya kukumbukwa, mbona awe Kikwete tu?Ndio katufikisha hapa, ndiye chanzo cha yotee, ndiye aliyetuletea huyu Rais, kwanza anatakiwa akae kwa kutulia kipindi cha Maguful alikuwa haongei chochote lakini sasa hv kwenye mikutano yeye ndio msemaji Mkuu sio huyo Rais wenu. Ninaendelea kuamini kwamba uongozi wa mwanamke yeyote kuna mwanaume ndiye anaemuongoza.
Eeh Mungu naomba Mapenzi yako yafanyike mapema. Amina