Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

Nduna shujaa

Senior Member
Joined
Aug 14, 2022
Posts
163
Reaction score
134
Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili.

Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe.

Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
 
Mafunzo ya ualimu yanasisitiza kuwa kioo Cha jamii hivyo haiba ni kipaumbele kazn na nje ya kaz. Hata hivyo Kuna walimu wachache wanaovunja miiko ya kaz kwa kuzin na wanafunzi na mengine kama hayo. Huu ndio unaoleta utofauti wa walimu na Askari.
 
Mtungi ni dalili za mtu mgonjwa msaada unahitaji haraka kumuokoa
 
Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili.

Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe.

Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
Umetoa mfano mmoja tu; halafu unauliza kwa nini hilo hutokea zaidi kwa askari? Namna ulivyoweka hoja yako haiashirii kuwepo kwa hoja ya msingi.
 
Walimu Wana akili sana ya maisha,
Kuna dogo mwalimu yuko kwny 30-35 kajenga jiran yangu naskia kumbe kaajiliwa juzi TU Hapa 2015.

Nna rafk yangu bwana maliasili mwingine bwana afya huwa tunapiga wote vyombo

Wote bado wako nyumba za kupanga.
Na sijui wanampango wa kujenga lini maana hata stories za ujenz tukiwaga bar hawapendi kuziongelea
 
Sheria ya ualimu haikatazi mwalimu kunywa pombe,bali kufanya kosa la kiutumishi linalotokana na ulevi..Kwa mfano kuchelewa kazini kutokana na ulevi,kutembea na mwanafunzi kutokana na ulevi..lakini ikiwa amelewa na hakufanya kosa lolote,huwezi kumfukuzisha kazi..kosa linaloweza kumfukuzisha mwalimu kazi,ni kutembea na wanafunzi,ikithibitika ni fasta tu unapigwa chini
 
Kama ni kuzini na wanafunzi basi ningekuwa jela. Nakumbuka mwaka fulani nikifanya field shule fulan za sekondari nimewalala sana wanafunzi halafu wengi ni Watamu sana. Mungu anisamehe tu, waalimu kazi kwenu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wanalogana sana kwa style hyo wengine wanaondoa stress.
 
Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili.

Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe.

Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
Tatizo ni hizo hela wanazonywea pombe! Nyingi zimetokana na rushwa, kupiga madili ya wizi, au kuwabambikia watu masikini kesi!

Sasa yale manung'uniko ndiyo huwafanya kutumiabsehemu kubwa ya hizo pesa haram kwenye ulevi na uzinzi! Na mwisho wa siku wanaishia kufukuzwa kazi.
 
Kwahiyo kinachokuuma ni kwann walimu hawafanyiwi Ivo?
 
Sijui kwa upande wangu tu au hata kwako unaliona hili.

Askari baadhi wamekuwa wanapiga sana mtungi na kupelekea kufukuzwa kazi. Mfano hai, ndugu yangu naye alifukuzwa kazi akiwa na nyota kisa pombe.

Kwanini mambo haya hutokea zaidi kwa askari?
Kuna Mwalimu mmoja hapa, anakunywa pombe mpaka Kodi ya nyumba ameshindwa kulipa.

Mkuu wa shule alijitahidi akamwekea godoro darasani awe analala lakini ameshindwa maana Mwalimu anaruka ukuta anaenda kwenye pombe.

Amejaa madeni, yaani mitaani wakijua mishahara imetoka wanamtafuta wanateka mpaka kwenye ATM alipe madeni, bahati mbaya hata Kadi ameweka BOND.
 
Back
Top Bottom