Walimu uwingi wao umebebwa na jinsia ya KE. Na hawa wameolewa na watu wanafanya kaz sehem mbali mbali za maana, wana maisha mazuri.
Ndo mana hata ukipita primary ya serikali unakuna mandinga kibao wamepaki maana ake waume zao wana mitonyo, walim wa kiume sio wengi kivile kwahyo hata matukio yao ni kutia mimba wanafunz, na pombe
Askari wengi wamebebwa na jinsia ya ME wengi ni miyeyusho maisha ya dhambi, rushwa, yamewajaa visirani na kubambika watu kesi na unyang'anyi ndo wapate hela ya kula na kufanyia umalaya
Wanaunga unga sana maisha, wamejazana kukaa kwenye nyumba za kota mtu anaanza kazi, anaoa anazaa watoto wa nne anakaa kwenye kota mpaka kota zinazeeka na kutitia hachilii nyumba, askari ndo mana wanaishia kulewa mipombe ovyo ovyo.
Wakistaafu wanakufa wiki mbili zinazofuatia. Maana hela za ganji ndo alizo zizoea sasa hakuna, ndo mana wengine wanashona uniform wanarudi barabarani tena, shubaamiti hawa. Askari wa kike nao roho mbaya zimewajaa na umalaya kwa maaskari wenye nyota za juu. Hili kundi ni takataka tuu
Yaani askari wamezidiwa utashi hata na manesi. Askari anamaisha ya HOVYO kuliko mtumishi yoyote duniani hapa. Kama wewe ni askari jitukane tu.