Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
sijasema atukuzwe kama Beckham ila ukiwa unafatilia mijadala utaona kwenye freekick wanapenda sana kuwalinganisha hao jamaa wawili wa jijini manchesterKwani de bruyne na bruno Fernandez wanaimbwa kwa upigaji wa freekick!?
James kwa wachezaji wa sasa hana mpinzani katika hilo, hata pep kasema, sijui wewe unataka aimbwaje hali ulimwengu mzima unatambua hilo, unataka aimbwe kama david Beckham, haliwezekani.
Analinganishwa na beckham sababu anajaribu kupitia njia za beckham, kuna vitu beckham aliwafanyia waingireza ndio maana wakamuimba saana freekick dhidi ya ugiriki kama sikosei, kingine jamaa alikuwa na damu ya ustaa.Ku
sijasema atukuzwe kama Beckham ila ukiwa unafatilia mijadala utaona kwenye freekick wanapenda sana kuwalinganisha hao jamaa wawili wa jijini manchester
Huo ni mwambaNimetokea kumkubali sana huyu mwamba nahodha wa Southampton Fc ya kusini mwa Uingereza. Kwanza jinsi anavyojikunja wakati anapiga mipira iliyokufa ni [emoji91][emoji91]
Anaitwa James Ward-Prowse yaani fundi kamili sana linapokuja swala la mipira iliyokufa. Amehusika kwenye magoli mengi sana yanayotokana na mipira iliyokufa kuliko mchezaji wowote kwasasa katika EPL.
Ila mwamba haimbwi pengine kwakuwa anachezea klabu ndogo, maana kila siku wanaotukuzwa ni akina Bruno na De Bruyne lakini kwa takwimu hawamkuti huyu mwamba wa Soton katika mipira iliyokufa.
View attachment 2205110
View attachment 2205111