Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,475
- 11,674
upo sawa kabisa..hii tabia itatowekaje?1st to reply,,,,umeongea jambo pana sana ila ukitaka kujua roho za watanzania tunamwacha mgonjwa anaehitaji matibabi ya milion moja lakin akifa tunachanga badget ya milion kumi kufanya mazishi,,, tuna matatizo na malez nadhan,so sisi tumerithi tu,tunapoteza ving na muda mwngi kwa visivyo na msingi ila yale ya maana tuna ya ahirisha
sana yani..tukiamua taratibu tunaweza badilisha kizaz chetu..Tatizo tuna maisha ya kiunafkinafki sana!
Ni kurud kwa asili ya maisha yetu ya kiafikra haswa japo inakua ngumu maana tumeshakua walev wa tamadu za njeupo sawa kabisa..hii tabia itatowekaje?
Itachakua muda mrefu sana kwa khali ilivyo sasa umimi umetawala sana.sana yani..tukiamua taratibu tunaweza badilisha kizaz chetu..