Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mfupi?Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!!
Kina ukweli asilimia ngap?
Twendeni kwa hoja
Unauliza jibu?Wewe ni mfupi?
Kama ulifanya utafiti, nilitarajia utakuja na majibu ya utafiti wako na sio wanaume tukupigie kura aloooo..☹️Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!!
Kina ukweli asilimia ngap?
Twendeni kwa hoja
kwaiyo wachina wote ni vilemaHuo utafiti ni wako binafsi, kwanza kabisa jua jambo moja kuwa ufupi ni ulemavu kama ulemavu mwingine, ngoja niishie hapo kwa sasa ili kama kuna watu andunje humu wanitukane kwanza, wakimaliza ntaendelea.
Nimesikitika sanaUnauliza jibu?
ShukraniNitafanya ndugu
Bila kuweka sudani kusini tafit zako ni batili ko umeona hakuna nchi africa watu warefu ma giant wa sudan kusini unawajua au kuwasikiaNchi zenye jamii za watu wafupi:
1. Pygmies wa Afrika ya Kati.
2. Indonesia .
3. Philippines .
4. Papua New Guinea.
Nchi zenye jamii za watu warefu:
1. Denmark.
3. Norway.
4. Montenegro.
5. Germany.
Nafahamu mkuu ila nimejaribu kumjibu mtoa mada kwa mantiki yake ya iQ aliyoizungumzia.Bila kuweka sudani kusini tafit zako ni batili ko umeona hakuna nchi africa watu warefu ma giant wa sudan kusini unawajua au kuwasikia