Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?

Sawa mkuu. Ina maana hawaangalii experience ya kazi na mchango wako katika taasisi hiyo?
Kwahiyo jeshi lilianza kwa kukimbiza makuruta!!??, Ninachojua ni kuwa walifuta vyeo vya juu vya kiuongozi, so , jeshi lilibaki na uzoefu wake
 
Back
Top Bottom