Nilidhani hili swali najiuliza peke yanguHaipiti siku bila kuona watu wameivaa hii jezi, naona imeuzwa sana, kwanini?
Design yake nzuri,.. mwenyewe nimeipenda👍Haipiti siku bila kuona watu wameivaa hii jezi, naona imeuzwa sana, kwanini?
zimejaa na dar mnoJezi za Al nassir nimezikuta kazuramimba kigoma sielewi hata zimefikaje
Hii Kali piaNa ile team anayocheza messi
Btw kuna katimu kapo Italy kanaitwa Venezia jezi zao ni hatari
Sema buku bongo nimeuliza nikakosa but nimeipenda sana
View attachment 2838672
Wolves Hampton FC ya England.Hii ni jezi ya club gani nikaitafute MzeeBaba..?
Retail....Tsh 25,000/=Bei ikoje?