Kwanini jezi hii imependwa sana?

Kwanini jezi hii imependwa sana?

Na ile team anayocheza messi
Btw kuna katimu kapo Italy kanaitwa Venezia jezi zao ni hatari
Sema buku bongo nimeuliza nikakosa but nimeipenda sana
FB_IMG_16892821248665668.jpg
 
Nimepishana na mdada amevaa hii jezi ya wolves mchana huu.
 
wanawake wanapenda sana kuigana igana

wakiona mdada mmoja kapendeza na jezi ya timu fulani

wanawake wengine na wao wananua jezi hiyo hiyo ili na wao wapendeze
 
Njoo nikuuzie, ninazo nyingi...
 

Attachments

  • 20231211_165858.jpg
    20231211_165858.jpg
    1.2 MB · Views: 6
Back
Top Bottom