Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
Ile nguzo ya Sakho imezama basi jana nisingerudi home mpaka j3Kanoute na sacko ilikua lazima wafunge jana! Maana kila mmoja first half aligongesha nguzo! Kanoute kwakichwa aligongesha nguzo kama ilivyo sacko kwa guu lakulia alilofungia goli vile vile guu hilolo lilifyatua kommmbbooora lililomtesa keeper goal wa azam bahat yake likagonga besela! Dah!
Sahau kuhusu hiyo namba tisa,, habari ya mjini sakho mtu mbaya
😬😬😬 Wachezaji wa Azam bure kabisa! Yaani wamenenepeana, ni wazito kwenye kukimbia, kuruka juu na kukaba!! Shenzi kabisa wale! Sijui wanalishwa nini na Bakhresa!wanasema eti sadio kanoute alinufaika na unene wa goli kipa [emoji23]
Wee acha uongo wako, magoli yote jana ni bora. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji51][emoji51][emoji51] Wachezaji wa Azam bure kabisa! Yaani wamenenepeana, ni wazito kwenye kukimbia, kuruka juu na kukaba!! Shenzi kabisa wale! Sijui wanalishwa nini na Bakhresa!
Magoli yote mawili waliyofungwa yalikuwa ni ya kizembe ukilinganisha na goli lao la kufutia machozi.
Mbona namba 88 hujaiongelea umeona namba 9 tu, wakati hapa dunia kuna matirioni ya namba!? Nikutukane nisikutukane!?Ni miaka kwa miaka jezi namba 9 haivaliwi hapo Simba kwanini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna ugomvi gana hapa? Kukukanusha kuhusu magoli ya jana ndo tatzo?cocastic, wewe niache tyuu niendelee na maisha yangu! Mimi sitaki kabisa ugomvi na mtyuu! Shauri yako.....
Sasa mkuu kama usingerud nyumbani si shemeji yetu angemlaumu sana huyu sakhoIle nguzo ya Sakho imezama basi jana nisingerudi home mpaka j3
Nakutania tu my dearest! Wewe ni wa kugombana na mtu? Jambo hilo kamwe haliwezi kutokea.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kuna ugomvi gana hapa? Kukukanusha kuhusu magoli ya jana ndo tatzo?
Nwei nisamehe km nimekukwaza, relaaaax [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipenzi hero ya mwaka mpyaWee acha uongo wako, magoli yote jana ni bora. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo!!!Msimu uliopita alifunga magori sita (6) ktk ligi ya kwao