secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha Tajiri Sina BAYANyuzi za yule tajiri ambaye hasalimiagi, mwingine Chizi maarifa japo siku hizi haonekani, alafu kuna secretarybird comments zake zinanifurahishaga sana kuna wengine sijawakariri majina
🤣🤣🤣 Asante mkuu secretarybird
Binafsi kuna Melki Wamatukio uyu jamaa ananiachaga hoi sana nyuzi zake😃Nyuzi za yule tajiri ambaye hasalimiagi, mwingine Chizi maarifa japo siku hizi haonekani, alafu kuna secretarybird comments zake zinanifurahishaga sana kuna wengine sijawakariri majina
Ngoja nisome hii story deeply.🤣🤣🤣 Asante mkuu secretarybird
Ama kweli usimwamini mwanadamu, hadi Binti Sayunii leo ananianika mimi kama kichekesho chake Duh kumbe Laima alikuwa sahihi hapa👇
Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho
Hii ilikuwa 2015 Kipindi hicho nikiwa Kijana Masikini tu. Picha linaanza nikiwa na washkaji katika pool table majira ya usiku. hapo mtaa umechangamka sio kitoto unaambiwa, katika stori wana wawili ikawa wanasimuliana kuhusu dada mmoja tumwite LAIMA. Nitaficha baadhi ya maelezo kwa kuweka...www.jamiiforums.com
Tangu nijiunge JF stress zimekimbia kabisa😁😁Binafsi kuna Melki Wamatukio uyu jamaa ananiachaga hoi sana nyuzi zake😃
Dah! Nisamehe bure tajiri, siwezi kuzuia furaha yangu, baada ya kusoma nyuzi zako😁😁🤣🤣🤣 Asante mkuu secretarybird
Ama kweli usimwamini mwanadamu, hadi Binti Sayunii leo ananianika mimi kama kichekesho chake Duh kumbe Laima alikuwa sahihi hapa👇
Niliamini ananipenda kumbe alinifanya kichekesho
Hii ilikuwa 2015 Kipindi hicho nikiwa Kijana Masikini tu. Picha linaanza nikiwa na washkaji katika pool table majira ya usiku. hapo mtaa umechangamka sio kitoto unaambiwa, katika stori wana wawili ikawa wanasimuliana kuhusu dada mmoja tumwite LAIMA. Nitaficha baadhi ya maelezo kwa kuweka...www.jamiiforums.com
Sawa mkuu shukrani lakini kwa kufurahia uwepo wangu.Dah! Nisamehe bure tajiri, siwezi kuzuia furaha yangu, baada ya kusoma nyuzi zako😁😁
Pamoja tajiri, muendelezo saa ngapi?Sawa mkuu shukrani lakini kwa kufurahia uwepo wangu.
😆😆😅 nahisi itakuwa saa 1, nikiweka mambo sawa nitakupa muda wa uhakika.Pamoja tajiri, muendelezo saa ngapi?
Pamoja mkuu😆😆😅 nahisi itakuwa saa 1, nikiweka mambo sawa nitakupa muda wa uhakika.