Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha🤣

Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha🤣

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Kuna yule mwamba alio omba ushauri namna ya kutembea na mke wa mtu bila mme wake kujua, sasa nikawa najiuliza vp kwa mfano baadhi ya suggestions atakazopewa moja wapo itatoka kwa mme wa huyo "mke wa mtu" 🤣🤣

Kuna mwamba humu aliwahi kusema sijui amebakiza siku chache kufa, saaa kumbe akawa amejichanganya akapost, sasa moderator ili kumkomesha akaonganisha nyuzi zake hiyo ya yeye na hiyo baada ya kufa🤣🤣

SASA VISA KAMA HIVI KWANINI UHANGAIKE KUNUNA NUNA HUMU JF
 
Back
Top Bottom