Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha🤣

Kwanini JF ikufanyie confusion, we ione tu kama therapy! Kuna scenarios humu za kutosha🤣

Kuna yule mwamba alio omba ushauri namna ya kutembea na mke wa mtu bila mme wake kujua, sasa nikawa najiuliza vp kwa mfano baadhi ya suggestions atakazopewa moja wapo itatoka kwa mme wa huyo "mke wa mtu" 🤣🤣

Kuna mwamba humu aliwahi kusema sijui amebakiza siku chache kufa, saaa kumbe akawa amejichanganya akapost, sasa moderator ili kumkomesha akaonganisha nyuzi zake hiyo ya yeye na hiyo baada ya kufa🤣🤣

SASA VISA KAMA HIVI KWANINI UHANGAIKE KUNUNA NUNA HUMU JF
Mkuu umesema kweli. Eti mtu anakuja na hasira za kibwege humu JF wakati hata hatujuani. Kwa mfano huyu  bueno ni upinde mtupu maana akiwa na hamu ya kufanywa anakuja kukuchokoza ili umfuate PM akuombe umsugue kidogo mwasho umuishe kidogo.

Wengene hatuna jadi ya kula mashoga so ingependeza hawa mashoga wangeundiwa forum yao ili wasilete makasiriko yatokanayo na kuwashwa washwa na bakteria.

Mshangazi dot com Binti Sayunii mniwie radhi kwa yaliyotokea katika ule Uzi.

Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom