Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,497
- 4,775
Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
hapo bado utakuta member wengi siyo wanaopost labda thread za kutisha ama kukosoa serikali,lah.
KWANINI HAYO HUTOKEA AU KWA SABABU YA SHERIA YA Jf KURUHUSU FAKE ID ?