Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wako busy hao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako busy hao!
Anataka tufahamiane vizuri
Una milioni saba za kumlipia kila mwana JF tubadilishe majina fasta?lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
Ile bili ya kule Naiii umeisikia lkn?Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
hapo bado utakuta member wengi siyo wanaopost labda thread za kutisha ama kukosoa serikali,lah.
KWANINI HAYO HUTOKEA AU KWA SABABU YA SHERIA YA Jf KURUHUSU FAKE ID ?
Unatumia nguvu nyingi na janja nyingi za nini kuwataka watu wajidisclose humu ndugu ili iweje??!! Wengine interest zao humu ni kujifunza vitu mbalimbali vya maisha na kuwafunza wengine pia vitu wanavyojua sio kutafuta umaarufu wa kujulikana. Kama interest yako wewe ni kujulikana ili upate faida fulani sera ya JF inakuruhusu kama inavyowaruhusu wengine pia kulinda ID zao. Na kama hii inakukera, FACEBOOK inakufaa zaidi.Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
hapo bado utakuta member wengi siyo wanaopost labda thread za kutisha ama kukosoa serikali,lah.
KWANINI HAYO HUTOKEA AU KWA SABABU YA SHERIA YA Jf KURUHUSU FAKE ID ?
Unataka kukamatisha watu police unjanja wako nimeushitukiatunajiitaje mashujaa na hatutaki kufichua sura zetu,mbinu rahisi ya kumpiga adui yako ni kuvaa gwanda lisilo na bullet proof