Kwanini jf management wasiwe wanatoa awards kila mwaka?

Kwanini jf management wasiwe wanatoa awards kila mwaka?

We ninunulie chupa za konyagi tu nitachafua thread za watu hadi zifutwe ibaki yako uwe mshindi siku hio ikifika
Kwani pesa yenyewe itakuwa sh. ngapi?Ntahonga watu wachangie thread zangu na wasichangie za wengine.
 
Back
Top Bottom