Kwanini JF?



BJ from your threads na baadhi ya post zako if anybody
underestimates you they are in trouble... you kno what you are about.
Asante for appreciating the thread makes me happy sana....:A S-rose:
 

Umefanya uamuzi wa busara especially kuchagua jina la kifamasi, wagonjwa ni wengi mkuu. Mwaga dozi
 
Mimi ilikuwa 2007, september...nikiwa chuo Kenya (lemmie market my university-AFRICA NAZARENE UNIVERSITY---current runners up Zain Africa Challenge)! I had no idea it will be this great a forum..those days nikitaka habari za bongo naenda michuzi, bongocelebrity, au darhotwire..lakini i neva used to get enaf of it. Then siku moja nikiwa likizo home nikasikia mtu akitaja blogs nzuri za bongo na hii ilikuwa mojawapo...then nikajiunga na JF with MY FIRST ID.
kuendelea mbele, nilikuwa notorious...kuna posts nilikuwa nataka kukomenti ila nisiharibu reputation ya my curent name nikaona isiweshida nikafungua my SECOND ID.
The baadaye nikaokoka, nikataka niwe naweka posts za kilokole tu....Nikafungua MY THIRD ID.
Mpaka sasa ninazo..ah nshasahau, ata nyingine nimesahau majina na passwords...but hii ndo yangu..the real me, no hiding, what I say ndo kilichoujaza moyo wangu!
 
I like honest people like you
 


Very impressive.... very very impressive....Dah! natafuta maneno ya kuongea....
sijui nikudefine vipi but I love what you have written for i never thot it possible.

Hapa naona nirudi tu huko ulikoanzia... hongera saana kua ni mmoja wa
current runner ups wa Zain Africa challenge (so dissapointed thou for the name change)
inahitaji watu bright/intelligent, high IQ and who can think fast on their feet.
Nimejifunza a very important thing in your posr - kwa hilo Asante!


Thank you for sharing...:A S-rose:
what an experience... inabidi ni add up your reputation.
 
Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.
 
Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.


Inapendeza kama woote ni wahusika naamini mnapata challenges
mbali na mwaweza discuss....

Thank you for sharing...
 
Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.

hahahah lol
dahhh sasa jina la mume hapa JF ni nani
hahahah lol
amewahi kusema kitu ukamshika shati mmmhh
mie nakutania mpendwa.. Nimependa sana jinsi ulivyojiunga hahah lol
 
mpenzi itabidi unipe number ya simu
nikueleze maana itanichukua 42/7
kuorodhesha kwa nini
hahahahah lol
Nijuacho nimekosa mume ajili ya JF mmmhh
 
Tnx Asha D! Kwa thread za ukwel, mimi bwana kujiunga kwangu JF chanzo kilikuwa Kibonde wa clouds fm, ilikuwa mwaka jana nipo kwnye folen natoka shule tambaza, sasa tulikuwa tunasikiliza Jahazi, bas kibonde akaanza kulalamika kuwa kna blog ina vijana wasomi wachambuz wa mambo wazuri lakini wameanza tabia ya kumuongelea vibaya mtu badala ya kuongelea masuala muhimu ya kitaifa, sasa alikuwa hatak kuitaja, Gadna akamwambia we c wachane wataje tu, ndo Kibonde, akaitaja JF, cku zikapita, sa usiku m1 nimesoma nimechoka, nikaingia Net via mobile nikakumbuka JF, Nikaingia Google, nikapata link ikawa ya MMU, km kna anayekumbuka ilihusu mke akilalama mme wake ambaye alikuwa sheikh wanaish tanga, mme alikuwa anataka tigo, mke alikuwa anaomba ushaur sbb alikuwa hatak, na mme hatak kumpa talaka, dah! Ilinisikitisha sana ile stor. N hayo tu wanajamvi.
 
Nilikuwa mbali na Bongo, nilikuwa natembelea blog mbalimbali kupata news za home, kunajamaa mtz mwenzangu aliniambia kuna kitu inaitwa jf itanifaa kwa habari mbalimbali.. Nikawa naingia kama Guest baadae nilitamani watu wanavyo jiachia nikazama ndani nawapenda jf, na mods wake wapo juu God bless you all.. Long live jf.
 
mpenzi itabidi unipe number ya simu
nikueleze maana itanichukua 42/7
kuorodhesha kwa nini
hahahahah lol
Nijuacho nimekosa mume ajili ya JF mmmhh


The number ya simu lazima ni Pm..
but nimesikitika saana kusikia umekosa mume bcoz ya JF
I really hope you are kidding for itaniuma....

Thank you for sharing Dear...
 


Eshacky Nimependa insight umetupatia na nashukuru
umefurahia thread.. naona hapo kibonde nami niko kwenye
kundi hata kama nilikua sijajiunga.. i can't stand him!
Na hio topic...mmmh... sina la kusema!

Thank you for sharing...
 
The number ya simu lazima ni Pm..
but nimesikitika saana kusikia umekosa mume bcoz ya JF
I really hope you are kidding for itaniuma....

Thank you for sharing Dear...

oohhh dear nakutania mpendwa... lol
sante kwa thread nzuri mami aee
 


Elia nashukuru kwa mchango wako....


Thank you for sharing....
 
Code:
BB napenda that Avatar saaana, but nilikua napata PMs kila siku nibadilishe, 
nilitia ngumu but eventually nikatoa... Naipenda ile cause mtu anashindwa 
kuimagine the way you are.... [COLOR=red]ya namna niliyoweka iko so misleading[/COLOR]....

In what ways????????
 
oohhh dear nakutania mpendwa... lol
sante kwa thread nzuri mami aee



whooooow!!! Was holding my breath... lol
Nimefurahi kua you were kidding..
Thank you for appreciating the thread Dearest ...
 
Code:
Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread  interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest  na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.

Mume alip[enda jukwaa la siasa na wewe huku ulifikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…