Kwanini JF?

Code:
huwa napenda sana majibu yako
lakini kunawakati unajibu mpaka unayaharibu
mambo mengine si ya kusema kihasara kiasi hicho
we huwezi elewa mwisho wa maisha ya mtu hapa duniani..
kwa hiyo naomba siku nyingine nijibu kama usomavyo poster
yangu amasivyo niruke tuuu..

Pole umeenda haraka sana ni mesema ....TO OTHERS................not to you .....dear...................I was very careful not to offend your sensibilities.............
 
mimi sikumbuki ilikuwa vipi but kuna article ya blue ray kuhusu jk
inaitwa kikwete na haiba isiyo na sababu
duhhhhhhh
niliposoma hiyo article nikajiunga siku hiyo hiyo
pia na daudi balali na scandals zake


Najua umetumia effort kubwa ku produce maneno yoote hayo...lol
So at the end of the day it was the propagander ilokuvuta...


Thank you for sharing..
 
Well said AD, nimebahatika saana kumuona Mzee DC at work
but ni observer mmoja matata saana hua haingilii kwa woote
but nimengundua the one anawajali lazima aingilie kati na
kutoa warning... sometimes in a mzaha way but very true....

DC mtu muelewa sana
ila saa nyingine mvii zinazidi
na watoto wa 21 Century "kizazi cha dotcom"
(ndio msemo wake) wanamuumiza
kichwa lakini yumo .. ni mmoja wa watu niliongea nao
na kwa kweli kheshima zangu nampa.. ni mtu mwenye
busara sana saa zote yeye anatoa mafunzo yale ya mwaka
wa 1947... ..
 

hahahah lol
I'm not sensible as you think..

ila napenda kusema niwazacho
kwa upole kwani either way
ujumbe utafika .. nikikujibu kwa
hasira, masifa au haraka haitasaidia chochote..
sio kwamba siwezi ni sitaki tu..
 


Nimeona dear na nakubaliana nawe tena mambo ambayo
huingilia kati kuweka sawa saana ni relationships... alimpiga siku
moja beat wa karibu wangu kuhusu issue fulani, nika PM miwa kua
I should nirekebishe hio issue sababu Mzee DC hapendi....lol
Kweli nikarekebisha nikafuata mzee wa busara...
 
Code:
huwa napenda sana majibu yako
lakini kunawakati unajibu mpaka unayaharibu
mambo mengine si ya kusema kihasara kiasi hicho
we huwezi elewa mwisho wa maisha ya mtu hapa duniani..
kwa hiyo naomba siku nyingine nijibu kama usomavyo poster
yangu amasivyo niruke tuuu..

Suala la kuwaheshimu wazee na kuongezewa siku hapa duniani siyo langu ni kauli ya Muumba ambaye ajua yote......................ila siku nyingine tupongezane mapema na wala tusisubiri siku ambayo twaona tumekwaruzika................ndiyo tuchanganye pongezi na lawama........................lakini karibu sana Afrodenzi............
 


hahahaahah lol pole mwaya
kuna ishu nyingine zinanitia kero..
hizo nazijibu kavu kavu tu ..
ntaambiwa nirekebishe kidogo mie
naacha hivyo hivyo sababu nataka nilie mjibu
anijibu hahahahahah lol

kwa hiyo my dear saa nyingine ulichosema
kama ni sahihi kwako hata usirekebishe..
lakini ukisoma mara mbili na si sawa mmhh
hapo labda .. samahani mpendwa.
saa nyingine
ni vema kutapika kinacho kukaba..
 

mmmmhhhhh
haya bwana..
 
Dk slaa na jk walinifanya niijue jf bila wao kujua.
Nawashukuru sana.
 
Wala sijibu salamu yako maana umenitupa utadhani nilikulia nyama zako!

kwani hujala mmmhhhh
nway ngoja nikuache ununeee weeeee
ukichoka utanitafuta mweenyeeweeee
hahaahaahah lol
 
Nshanuna tangu lini ile sijui!Unapatikana pande zile nikuchungulie?!

hahahahha lol
umenuna lakini bado wanitaka
ndio maana nakupenda bure
mmmh haya twende tukaufinyange
kidoncho hahahah lol
 
Mimi binafsi Mjomba wangu ni kada wa CCM inaonyesha ana ID hapa Jamvini ila siifahamu, nilimsikia akisema kwamba kuna mtandao umeanzishwa na wahuni hawana adabu kabisa wamefikia mahala wanamzungumza vibaya mkuu wa nchi bila woga, alimtaja Mzee Mwanakijiji kwamba asipoangalia yanaweza kumkuta ya kumkuta, ndipo kwa mara ya kwanza niliingia kujisomesomea hapa Jamii forum, nilikuwa mpita njia tuu(sikujisajiri) baadaye nilijiunga baada ya kujiridhisha kwamba ni mahala pekee unapoweza kuzungumza waziwazi. na mada aliyokuwa akiizungumzia Mjomba ni hii hapa chini

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/18458-kikwete-frustrated-at-the-un.html
 
hahahahha lol
umenuna lakini bado wanitaka
ndio maana nakupenda bure
mmmh haya twende tukaufinyange
kidoncho hahahah lol

Ntaacha kukutaka wakati nakupenda...nahitaji tu kubembelezwa kidogo baasi!
 
Partner naona mmeanza tayari....!
AD shikamoo!


Marahaba hujambo
binti mrembo....??
nlikuwa nakutafuta
chumba cha pili sijakuona mmhhh


Wala sijibu salamu yako maana umenitupa utadhani nilikulia nyama zako!


kwani hujala mmmhhhh
nway ngoja nikuache ununeee weeeee
ukichoka utanitafuta mweenyeeweeee
hahaahaahah lol


Nshanuna tangu lini ile sijui!Unapatikana pande zile nikuchungulie?! !

hahahahha lol
umenuna lakini bado wanitaka
ndio maana nakupenda bure
mmmh haya twende tukaufinyange
kidoncho hahahah l!

Ntaacha kukutaka wakati nakupenda...nahitaji tu kubembelezwa kidogo baasi! !


Very impressive uchakachuaji...lol...
nyie warembo kwa mda mchache tu nilotoka...
ngoja niangalie jinsi ya kujipenyeza! :grouphug:
 


Nimekupata dear sio kila unaloambiwa/rekebishwa wakubali...
ila hio nakubali was too much ndo maana nilirekebisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…