Kwanini JF?



Ezan maneno yako yamenifurahisha saana...
Asante saana kwa Link, naona itanifaa na wengine pia...


Thank you for sharing...
 
Niliudhuria presentation moja last week, Prof mmoja wa mambo ya uandishi wa habari akaongea kitu ambacho kilinifumbua kidogo.

Hizi social media ziko juu kuliko mainstream media kwa kuwa
1. Mainstream media worldwide ziko very corrupt; kuna habari kwa sababu zao binafsi hawaziripoti, au wakiripoti basi wanakuwa wamechakachua.

2. Social media zinatoa habari toka kwa knower. na si rahisi kumpa rushwa mtoa habari kwani humjuhi na hujuhi kama atarusha hiyo habari.

3. This is why vijana northern Africa walianzisha movement kwani walikuwa well informed with what is going on in their governments through these media.

4. Ndio maana nchi kama China wana restrict sana hii kitu.

5. I think this is a threat to mainstream media. If they don't make serious reforms in 50 years to come hamna atakayekuwa anaangalia TV news au kununua gazeti

5. Hizi media zimefanya kila raia kuwa mwandishi habari si kusubiri gazeti au TV
 
Mi email yangu ilikuwa hacked na JF..ikawa so flooded and bombarded by JF(Jambo Forums) topics kila leo,kila nikifungua email nakutana na JF..agh ikawa kero sasa!!Nikawa naanza kuzisoma sredi kupitia mail..nikadata na mawazo strong ya Mzee Mwanakijiji...!! hiyo ilikuwa 2006...,nilivyotembelea jukwaa la muziki nikakutana na zilipendwa akina Mbilia Bell na Franco...nazipenda sana hizi ngoma!!agh badae 2007 nikaona si vibaya kujiunga
 
Reactions: EMT


NK asante kwa hii information, umenifanya nikumbuke quote moja .....

I am NOT such a Dictator that i will refuse people to use Face Book!
I will merely Imprison anyone who logs into it
- Col Gaddafi..

Thank you for sharing...
 
Mwanzo kabisa nilikuwa active member kwenye ile forum ya BCS Times kabla haijafa. Baada ya kufa ikawa ndio mwisho wangu wa kuchangia tena kwenye mitandao. Mwaka juzi kuna mshikaji alikuwa na party akanialika. Kwenye party alikuwa anapiga zilizopendwa nzuri sana. Nilipomwomba anikopie hizo kwenye USB drive yangu akasema nyimbo zenyewe zinapigwa online. Nilivyomuliza site gani akasema JamiiForum. Tokea siku hiyo nikawa nakuja JF kusikiliza zilizopendwa wakati napitiapitia baadhi ya threads. Baadae nikaanza kunogewa na posts za baadhi ya wachangiaji nikaamua kujitosa. Wanati najisajili nilikuwa nataka nitumie hii ID yangu kama password ikakataa b'se ni fupi mno. Ikabidi tuu niswap password to ID and ID to password.
 


I believe as much as zilikuboa you do not regret....


Thank you for sharing...
 

Nitamkumbuka sana kijana mmoja anejulikana kama Gurta, huyu ndiye alienieleza uzuri wa jf na akanishauri niwe tu nazisoma nyuzi za watu bila kujisajili, nilipoona utamu nikajiunga tar 17 may, na ndani ya siku chini ya kumi nikawa member ambae tulifahamiana na mabect kibao. By this time niko kama mwehuuu, nimeathirika na Jf, muda mwingi niko bize na Jf, ila kiukweli naelimika kupitia Jf kwa kupitia mawazo ya walio wengi. ASANTENI SANA!
Thanx ma bro Gurta,
thanx Asha D for your best Thread.
Luv u all!
 
hii thread imekwenda kasi mpaka nasikia uvivu kuchangia...



Usishangae... zile tensions ambazo hunipa zita affect thread won't be able to stop,
and i still need new infor, am learning a lot... naomba ukasome
Mentor kasema nini na hapo kwa Nyumba kubwa..
 


So finally music ndo ilikuleta and zilipendwa at that and I thot politics...
A new insight...


Thank you for sharing EMT
 


I believe it is a courtesy for me nimshukuru Gurta
kufanya uwe mmoja wa JF member... nyce...
Asante kua umependa the thread...
On behalf of all JF members we Love you too Sharohphp


Thank you for sharing
 
Usishangae... zile tensions ambazo hunipa zita affect thread won't be able to stop,
and i still need new infor, am learning a lot... naomba ukasome
Mentor kasema nini na hapo kwa Nyumba kubwa..

ha ha ha
 

Nakubaliana na wewe kabisa. Hii ndio ilimcost Mubarak. Wakati akiwa Rais alianzisha ICT project moja kuhakikisha kila familia inakuwa na komputa. Baada ya kufanikiwa akaja na nyingine kuhakikisha kuwa kila nyumba inakuwa na internet access. This is what made Egypt to be the leading country in Africa with many internet users. Social media imefanya raia wa kawaida kuwa journalists. Kama sio social media tusingeweza kuona entrance ya Kigoma Airport.



 

Zile ngoma usipime mkubwa, mi zilinivuta sana kujiunga na JF...nnimezidownload zote ninazo hadi sasa!!
 
Mku Asha D,

Karibu sana kwenye jamvi letu hili au kiota au mahala pazuri penye kila aina ya fikra.

Mimi ni mmoja wa wanachama wa mwanzo wakti JF ilipoanzishwa na nina muhtasari wa wasifu wangu hapo juu.

Miaka inavyozidi kwenda napunguza kasi ya kuchangia ufahamu wangu wa mambo hapa kutokana na majukumu mengi kikazi na kifamilia.

Lakini usiwe na wasiwasi ninyi ndio chimbuko jipya la leo (kwenye Jamvi hili) na mimi nipo tayari kuja hapa pale nipatapo nafasi kusaidia kunyoosha mambo.

Mimi nacheza mahala pote kwenye michezo, sayansi, teknolojia na current affairs kwahio karibu.

JF ni ngome imara iliyojengwa na wanachama wengi tu wenye fikra mbalimbali, na kwa mantiki hio wanachama kama sisi hatutakuwa tayari kuona hali ya hewa inachafuliwa bila kutafuta "air freshers" za kusafisha.
 
Nilijiunga JF kwa sababu za kisiasa na mapenzi yangu kwa siasa,nakumbuka kuna mtu aliniuliza umeona thread fulani Jamii Forums,nikamuuliza ndo nini,akaniambia you are not serious kwamba hauko JF.....nikamjibu am serious.....basi akanielekeza nikajiunga lengo likiwa sana siasa.....!!

huh! niliposoma muelekeo wa jukwaa lile nikasema sihitaji stress zaidi ya nilizo nazo,manake kuna kitu kinasemwa unajua ukweli ni upi,ila unaposema ukweli unakuwa kama umechafua moods,nikagundua muelekeo wa jukwaa lile na kuona its impossible to do constructive politics...ni kubomoana tu A-Z.....

nikapata jukwaa la mapenzi,nimejifunza mengi,nimekuwa kiroho na nimepanua ufahamu wangu,zaidi najisikia kuwa useful.....nikapata marafiki wengi na maadui wachache,nikajifunza pia kuna watu mkitofautiana kwa PM,ni bifu kwa thread pia,nikajifunza kuna watu ukiwa friendly wana assume mengine...na namna ya kujadili issues na watu nisiowajua....its crazy but interesting.....!!! Naipenda JF kwa kuwa inanisaidia sehemu ya kazi kwa kunipa taarifa na muelekeo wa walio wengi....Asha,this is a very useful thread!!!
 
So finally music ndo ilikuleta and zilipendwa at that and I thot politics...
A new insight...


Thank you for sharing EMT

Zamani nilikuwa spendi siasa sana, ila naona kama JF inataka kuniloga sasa. Halafu lile jukwaa la wakubwa nilidhani kule ndio kulikuwa kwa ma great thinkers wenyewe. Nikawa najiuliza hivi kama watu wanakata issues namna hii kwenye majukwaa ya kawaida, kule lazima itakuwa balaa. Nilidhani kule ni exclusive kwa maprofesa, au watu wenye nafasi nyeti kwenye jamii. JF bwana!!
 
Nakuona freelance journalist at work!

 
Reactions: EMT

Hahahhaa...pole dearest!!Kumbe watu ugomvi wa ndani wanahamishia nje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…