Kwanini JF?


Dada Asha naona unataka ma-mod wanifanye homework kuzitafuta! mimi pia nlikua na multiple Id's koz ya inspiration za kina Mwanakijiji et al..wao walikua wanajisifu kuwa nazo nyingi na hawakamatwi na ma-mdo, nikaona isiweshida...na mimi nikaanza!
MODS: msijali..wala zisikumbuki majina...sizitumii tena..lol!

Hii yenyewe nimeibadili majina kama mara 4 ivi...kwanza ilikuwa, ebbynature...nkaona itanifichua my realname kirahisi kwa m2 anayenijua, nikabadili to nature, nikaona hailipi, nikaenda COMPAQ coz laptop yangu ya kwanza ilikua compaq...baadaye nikatafakari...nikawa nataka jina permanent ambalo nitajivunia kuitwa hivyo, jina ambalo m2 ukilisoma tu, unaweza ukapata picha ya nilivyo (or atleast, ninavyotaka kuonekana), nikatafakari kwa kina na mapama nikapata jina hili MENTOR...i was a student mentor back at Uni kwanzia my second semester mpaka namaliza! I loved it and I still do it even at work today...
That is the name I chose to stick wit!

Halafu kuna mtu ameongelea music, nakumbuka those days nikiwa chuo...naingia online naanza kustream ma bongo fleva, zilipendwa na injili...jamaniiiiiiiii gud old days...btw, wat hapenned to it!?? ni copyright laws ama!??

VIVA JF...
 
Code:
mmmmhhhhh
haya bwana..

you are wonderful...that is all I can say 4 now...............
 

Mentor hili suala i believe Mods wanalitambua na siku zinavyozidi
kuenda naona kua ni common knowledge kua hili suala la multiple
IDs ni kwa saana... Ilinifurahisha wewe ndo wa kwanza ku admit hilo
I believe hata mods wanatakiwa wawe proud of you... kua ni mkweli.



I genuinely like the name you chose to stick with, plus the Avatar you
have chosen it had given me a picture which just mentioning hizo past
majina makes me want to blur my vision..lol... Ndo maana nilikua
nakurusha so that members see how truthful you are!

Have a nice day Mentor...
 

Na wewe pia uwe na siku njema dadangu mpendwa...kip smiling!!! though sijui tutaonaje na kakitambaa chao usoni!!! Ivi huwa nafanyaje kazi na mikono yote imekishkilia, wenzio wanatumiaga vipini,lol! jus jokng...mob love.
 


Thank you for the bolded compliment... na appreciate for sijawahi
wasiliana nawe hivyo kind of surprised you have picked that up!

hahaha... I know you are joking about the pin... hio ndo problem
ya Avatar, you can read a person all wrong!.... Enways
Mentor mob love to you too...

Thank you.
 

I normally believe avatar ya m2 inabeba picha fulani ya mtu mwenyewe yukoje! u don't just put a picture...
mimi ningependa nikusome in the right way..ebu nidadavulie ya kwako inataka kutoa picha gani!??

Halafu ni makusudi ama hujaona..umeruka hii part..lol!!! "mpaka honestly, truthfully, sincerelly, natamani kuonana na wewe face2face...f u dont mind! "
 
Niliijua JF siku nyingi ila nilikuwa sipitii huko kabisa, coz hata FB sipo sijui niko antisocial or! sasa nikapata kidate kimoja makini sana ver smart guy akawa kila wakati anazungumzia JF ,coz mshikaji ana upeo mkubwa sana nikajiunga nione post zake ingawa mpaka leo sijui ID yake nikalowea na post za wengi niliowakuta humu. Umezungumzia kumake friends unafanyaje humu kufanya hivyo? nieleweshe kidogo
 


I wish you would have seen my first Avatar, it defines me mo' than hii hapa ever will...
I don't take well to compliments Mentor ndo maana niliruka... hope you don't mind
but i really do appreciate you defining me so... Kuhusu kuonana ni uvumilivu naamini
wana JF siku moja tukijipanga fresh twaweza onana wooote... looking forward to the day.
 


Morio kwanza mimi na wewe tumshukuru alochangia sisi tuwe woote
members na mimi kuweza jibishana nawe kwa njia ya key board..
naamini kutojua ID yake ni bora zaidi maana ukimfahamu mtu
personaly najua waweza cloud your judgement towards the post..

Kuhusu marafiki naamini kua unapozidi kuchangia kuna wale watu mnagongana
saana katika uzi mbali mbali hivyo sometimes kujenga urafiki mpaka mwaweza
wasilianaa zaidi ya hapa jamvini...

Thank you for sharing...
 

At first ckuw na Id nilikuwa naingia kama guest user,i dnt have multiple id's..najifunza sana hapa.
 
At first ckuw na Id nilikuwa naingia kama guest user,i dnt have multiple id's..najifunza sana hapa.


Nimekupata na asante for the fidbak really needed it..
wewe huna tofauti na mmoja wa member ame share this on
this thread page 5 anaitwa Ulimkafu alikua a devout guest kwa
miaka minne... huyo kwangu naona kama silent member kama
ilivyokua wewe....

Again thank you for the fidbak.
 
Kwanza nilikutana na Jf wakati nagoole habari za freemasons,google ikaniletea thread iliyokua imeandikwa"freemason inside out!Baada ya hapo ndipo baada ya uchaguzi mkuu jamaa yangu akaniambia kuhusu jf,nikafungua website yake nikaikagu nikajisajili!Nafurahia kuwa mwana JF!
 


Eiyer my brother... Am sincerely sorry sikuona post yako mpaka
nilipotulia usiku na kuanza kuipitia upya... nilisikitika saana - ndo
maanaa nikajiuliza this brother of mine where is he???

Naomba fungua page 15 mana nimekujibu hapo dear...:A S-rose:
 
Am done baby..id u know whay I mean....am waiting.........:tonguez:


Honey pole for such a tiring activity... and that just for your gal
Thank you... about the promise just relax, finish your work
and will be hungrily waiting... you kno wat i mean
 

ndo ilikuwaje iyo? i wish ningeiona...!:crying::crying::crying:
n i kan c u blushing! na utablsuh xana..coz i jus a few days u have accumulated so much fame n respect in this forum kiasi hutakosa sifa kila pahali..itabidi ujizoeze!lol
Halafu hiyo safari ya JF wote huwa inaanza na step moja...mimi na wewe, then wengine na wengine..mpka siku moja tuje kutana wote...ama unaonaje!?? nahisi kama una ka-aibu fulani (also frm ur avatar,lol!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…