Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Hapa nilipenda saana ungekua umenipa insight ya kua mara
ngapi umejiunga.... kwamba was it a BAN ilosababisha ujiunge
upya December? au tu kama Mentor alivyosema kua multiple IDs
sababu ni mkongwe i believe nitajijunza kitu....
Thank you for sharing...
Dada Asha naona unataka ma-mod wanifanye homework kuzitafuta! mimi pia nlikua na multiple Id's koz ya inspiration za kina Mwanakijiji et al..wao walikua wanajisifu kuwa nazo nyingi na hawakamatwi na ma-mdo, nikaona isiweshida...na mimi nikaanza!
MODS: msijali..wala zisikumbuki majina...sizitumii tena..lol!
Hii yenyewe nimeibadili majina kama mara 4 ivi...kwanza ilikuwa, ebbynature...nkaona itanifichua my realname kirahisi kwa m2 anayenijua, nikabadili to nature, nikaona hailipi, nikaenda COMPAQ coz laptop yangu ya kwanza ilikua compaq...baadaye nikatafakari...nikawa nataka jina permanent ambalo nitajivunia kuitwa hivyo, jina ambalo m2 ukilisoma tu, unaweza ukapata picha ya nilivyo (or atleast, ninavyotaka kuonekana), nikatafakari kwa kina na mapama nikapata jina hili MENTOR...i was a student mentor back at Uni kwanzia my second semester mpaka namaliza! I loved it and I still do it even at work today...
That is the name I chose to stick wit!
Halafu kuna mtu ameongelea music, nakumbuka those days nikiwa chuo...naingia online naanza kustream ma bongo fleva, zilipendwa na injili...jamaniiiiiiiii gud old days...btw, wat hapenned to it!?? ni copyright laws ama!??
VIVA JF...