BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 958
Nilikuwa namGoogle michelle obama mara ghafla katokea michelle wa JF anajibizana na Uporoto. Khaaa! mwengine aendeleze huu mkasa uliishiaje
Badili AvatarMiye nilijiunga kutafuta mke, bahati mbaya mpaka leo hii sijapata 🙁
Mfanyakazi mwenzangu kila mara alikuwa ananiita nikasome thread iliyomvutia au kumchekesha, mwisho nikaona isiwe taabu mgoja nijiunge mwenyewe, ila watu walikuwa wananiogopesha sana kuhusu hii forum nimekuja kukuta sivo wanavoichukulia
Mayassa naomba haraka saaana mtafute Stevie D popote pale alipo!
Jamani wapi Stevie??????? Mtoto kapatikana hapa...lol
Thank you for sharing...
Owwwkey!
Nilijiunga may 09 nadhani...nikachangia kizushi mpaka july 09 then nikaachana JF mpaka april 10 sijui nilikua nachungulia nini nikakutana na thread ya The truth about beauty peagents nikachangia kidogo ila iliyonitoa povu ni moja hivi ilikua inasema kwamba watoto wasiolelewa na baba zao hua wanakua kua anti-social!Nakumbuka nilibishana na mshkaji mpaka basi...sasa ndo nikaona owkey ngoja niangalie kama kuna mwingine anaeleta assumption za ajabu ajabu nipambane nae..MPAKA LEO NIPO!
Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!
Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
.
its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.[/COLOR][/FONT]
Miye nilijiunga kutafuta mke, bahati mbaya mpaka leo hii sijapata 🙁
Mimi nilijiunga kutafuta mchumba lol...
Thanka Asha D,
Umekutanisha watu hawa.... hahaahaha lol
Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!
Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
Ila kwa siku lazima niripot huku MMU,
Na siku ya kwanza kuchungulia huku MMU nilivutiwa sana na Afro Denz, Miss Judith (afu nimem-miss huyu mtu), Blak Woman, Lizzy (mnoko),
The Finest, The boss, Sussy, Nyumba kubwa, Preta na wengine wote wajumbe wa huku MMU.
Then nikaanza kumuona huyu mtu....... its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.
Mimi nilikuwa nasoma kama Guest kutokana na rafiki yangu kunihadithia mambo ya kikubwa, siasa, nafasi za kazi na mengine meengi akisifia sana unaweza kuchangia na bila kujulikana nikajiunga japokuwa nilikuwa napata taabu sana kujiunga mpaka nikatuma msg kwa support@jamii.... ndo nikawa member/mjumbe
Hhahhahahah...asante mzee DC!Mi mkoloni ataniwezea wapi...akileta maneno nampiga saundi(usanii).Na kweli wewe ni mpambanaji...Mshukuru mkoloni wako kwa kutokuwekea mageti mazito mazito kama high security prison!
Gaga thank you for sharing..... Na the above statement is so true lol...... usipokua mjanja kazi zinalala.... enjoy dear..
Mimi very proud we are both members na post zako hunifurahisha
(achilia kwanza Avatar.. am a woman na bado mpaka niangalie hapo ndo nisome post...lol)
Cheusimangala Thank you for sharing....
Hahahaha lol karibu asha, ni kweli kabisa usipokua mjanja kazi lazima zilale
Mimi niliingia blog flani ya udaku nikakuta kuna mada imeanzishwa sasa nikaona watu kama watatu wamecomment na kusema hii mada ingepelekwa kwa magreat thinker kule jf ndio ingenoga ihamishieni kule. Si ndio nikashawishika na kugoogle nijue hiyo jamii forum ina nini kwani, lol Kuingia tu nilivyonabahati sijui mbaya na ungo wangu nikadondokea MMU salaaale mbona nikawa sibanduki, na nimewaambukiza watu wote hapa ofisini maana walikua wanashangaa huyu mbona siku hizi anacheka cheka peke yake kuna nini? Kuna mmoja alinilaumu alisahau kuandika ripoti na siku hiyo ndio ilikua deadline, hatosahauHe! kwaherini jamani nimesahau kama sijamalizia kazi mwe!
Hahahha partner JG naona kaamkia upande mzuri tu leo!Partner naona hujaenda uzi wa baby Malaika... kule kakurusha kua utampaka! please go check i want to kno nini kinaendelea...lol