Mhh "wachakachuaji" mpooo?
Naona mmechakachua uzi wa huyu "Binti Mwema" mpaka na yeye mmemuiba!
Ok, thanks Asha D.... kwa huu uzi mtamu sana!
Mi ni mpenzi sana wa siasa, na marafiki zangu ni watu wa kufuatilia siasa,
Mwaka 2008 jamaa akaniambia cheki JF, kuna majitu yanaichambua hii nchi balaa.
Siku nilipofungua, nilienda moja kwa moja "jukwaa la siasa".
Huko kuna watu walinifanya niingalie JF kwa jicho la msisimuko.
Kuna watu kama "Invisible", "Mzee mwanakijiji" na wengine kibao siwezi wataja wote.
Hawa walinifanya hata kutokufikiria kwamba unaweza kuji-register.
Ila nilikubali kuwa fasihi ya "great thinker, where we dare dare to talk openly"
ilikuwa inakidhiwa na wajumbe wake.
Hivyo nikawa napita kusoma tu, mishe za hii maisha nikawa mbali sana na mtandao hadi majuzi.
Baada ya mda mwingi naingia JF, sikuhiyo kila thread nilikuwa nataka kufungua ikawa inagoma,
Kwamba inabidi nijisajiri kwanza.... basi nikajiunga na mda mwingi sana nashinda "Jukwaa la Siasa"
Ila kwa siku lazima niripot huku MMU,
Na siku ya kwanza kuchungulia huku MMU nilivutiwa sana na Afro Denz, Miss Judith (afu nimem-miss huyu mtu), Blak Woman, Lizzy (mnoko),
The Finest, The boss, Sussy, Nyumba kubwa, Preta na wengine wote wajumbe wa huku MMU.
Then nikaanza kumuona huyu mtu....... its U Asha D, my JF special Gal....!
Sifikirii kuondoka huku jamani.