Kwanini JF?

Hhahhahahah...asante mzee DC!Mi mkoloni ataniwezea wapi...akileta maneno nampiga saundi(usanii).

Hivi wewe unaiweza kazi ya usanii wa Bongo Darisalaam wewe? Mbona hufanani nayo?
 
Mayassa naomba haraka saaana mtafute Stevie D popote pale alipo!

Jamani wapi Stevie??????? Mtoto kapatikana hapa...lol

Thank you for sharing...

Her too, already spoken to! 🙁
 
journeGwalu binti katolea nje! toka kajitangaza Stevie D
hajatia mguu hapa mpaka ndege kapeperuka.. too sad.
Hata hivyo nitamshauri avue ile t-shirt kwenye Avatar waweza
kuta nayo ya changia...lol
hahaha kweli ile tshirt kwenye avata kidogo ina utata..
 
Alipofariki Chacha Wangwe(RIP) kwa ajali ya gari kule Dodoma mnamo mwaka 2008, tulikuwa tunaongelea issue hii na by then mpenzi wangu.

Basi akaniambia ingia www.jamiiforums.com , huko wanaongelea habari za nyumbani na yote yanayojiri kila kukicha mana alijua napenda sana kusoma magazeti na kufuatilia matukio ya kila siku ndani ya nchi yangu.

Basi nikaingia JF kuanza kusoma soma habari kila kukicha na hatimaye siku moja nikajiunga na kuendelea kuwa mwanafamilia wa JamiiForums.

Naifahamu ID ya X-mpz mana yupo active mpaka sasa ila yeye hanijui na sikutaka ajue nipo hapa basi tu bila sababu ya msingi..huwa nikimsoma sometimes nacheka kutokana na anavyo-comment!

In short, JF is such a cool place!!!
 
Badili Avatar

I know of a person who is attached to her BB all the time, also dislikes my current avatar... can only be you!!!!

Anyhow, amma do it! Am gonna change my avatar, and amma do it soon as. Thanx for the advice... 🙂
 
There are currently 24 users browsing this thread. (16 members and 8 guests)
We bana badilisha hii ID unanipa kiu, unanitia vishawishi mchana mchana bwana badala ya kuagiza maji nishushie msosi naweza jikuta naagiza hii makitu halafu ikawa balaa, halafu hiyo baridi ulivyoiremba lol mubaya sana wewe
 
Niliingia toka Jambo Forums...2007 Nilisukumwa na Michango mbalimbali ya kusisimua...
 
So it does worry you too, mtu kuyajua yote haya in the shortest time imaginable... gurus in new colors aren't they?!

It sure does, at least make me wonder and at most doubt some of the members' newness for it is undeniable that some folks have multiple handles.
 

Asha D, you are going personal... I think you are... haya bana!! xx

Hafu huyo mtoto wapi alipojinadi bana??? kaandika comment moja tu kisha ulipoingiza u Cilla Black akachomoa...or who else you talkin about?? May I know pls...
 

Belinda Jacob of all the statement hio ndo imestand out kwangu.. poor guys
kila mmoja ataanza kutafakari kama amewahi recommend kwa Ex yeyote,
raha gani zaidi waweza pata zaidi ya kujua Ex anaendeleaje...lol...
I hope haaaribu - i feel for the guy...

Thank you for sharing...
 

Karibu Loliondo Pub(Samunge kwa Loya Mziray...) ipo Sinza kwa Remmy kati ya Miller Bar na B-Bar una Tusker Bariiiidi!!! 5 kwa Bill yangu...
 
Asha D, you are going personal... I think you are... haya bana!! xx


Stevie D tumetoka mbali can't do that to you... i love the song
Nilikua natingisha kibiriti you friend of mine... na uzidi nitumia hizo
dedications me love them... as a sign of peace please pokea the
warm HUG...:hug:

Am i forgiven??? pleeeease...
 
Karibu Loliondo Pub(Samunge kwa Loya Mziray...) ipo Sinza kwa Remmy kati ya Miller Bar na B-Bar una Tusker Bariiiidi!!! 5 kwa Bill yangu...

hAHAHAHA LOL wapi toyo niwahi hii ofa walahi kazi utanisamehe leo, nimecheka kwa sauti mwe! ndio maana sipendagi kuingia humu mwe! asha d utanisemehe mwaya nimeenda off topic, hebu niondoke niwahi ofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…