Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nawaza wangapi humu wa majina zaidi ya moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhahhahahah...asante mzee DC!Mi mkoloni ataniwezea wapi...akileta maneno nampiga saundi(usanii).
Mayassa naomba haraka saaana mtafute Stevie D popote pale alipo!
Jamani wapi Stevie??????? Mtoto kapatikana hapa...lol
Thank you for sharing...
Nawaza wangapi humu wa majina zaidi ya moja.
To you Asha D, on behalf of Cheusimangala...
YouTube - ‪You've been a very bad girl ! A very very bad bad girl Gaga !‬‏
hahaha kweli ile tshirt kwenye avata kidogo ina utata..journeGwalu binti katolea nje! toka kajitangaza Stevie D
hajatia mguu hapa mpaka ndege kapeperuka.. too sad.
Hata hivyo nitamshauri avue ile t-shirt kwenye Avatar waweza
kuta nayo ya changia...lol
Badili Avatar
Hahhahah....wale sasa wanaigiza usanii na sio wasanii!Usanii haswa ni tofauti Mzee DC!Hivi wewe unaiweza kazi ya usanii wa Bongo Darisalaam wewe? Mbona hufanani nayo?
So it does worry you too, mtu kuyajua yote haya in the shortest time imaginable... gurus in new colors aren't they?!
Stevie why do you always send me wrong dedications in music...lol
it seems you read me wrong eeeh?? wewe mtoto kajinadi hapa
mpaka katolea nje unang'a tu macho....
You say i should stop calling kind of busy eeeh?? why ulijitangaza...
unajifanya uko busy with a drink in your hand no wonder unapeperusha them gals...lol
Alipofariki Chacha Wangwe(RIP) kwa ajali ya gari kule Dodoma mnamo mwaka 2008, tulikuwa tunaongelea issue hii na by then mpenzi wangu. Basi akaniambia ingia www.jamiiforums.com , huko wanaongelea habari za nyumbani na yote yanayojiri kila kukicha mana alijua napenda sana kusoma magazeti na kufuatilia matukio ya kila siku ndani ya nchi yangu.
Basi nikaingia JF kuanza kusoma soma habari kila kukicha na hatimaye siku moja nikajiunga na kuendelea kuwa mwanafamilia wa JamiiForums. Naifahamu ID ya X-mpz mana yupo active mpaka sasa ila yeye hanijui na sikutaka ajue nipo hapa basi tu bila sababu ya msingi..huwa nikimsoma sometimes nacheka kutokana na anavyo-comment! In short, JF is such a cool place!!!
There are currently 24 users browsing this thread. (16 members and 8 guests)
We bana badilisha hii ID unanipa kiu, unanitia vishawishi mchana mchana bwana badala ya kuagiza maji nishushie msosi naweza jikuta naagiza hii makitu halafu ikawa balaa, halafu hiyo baridi ulivyoiremba lol mubaya sana wewe
- Maty
- Tusker Bariiiidi ???????????????????????????????????????????????????????
- Steve Dii
- Asha D
- assa von micky
- Pukudu
- Mayassa
- Fanta Face
- BlackBerry
- The Farmer
- Never give up
- Pretty P
- Mohammed Shossi
- Keren_Happuch
Asha D, you are going personal... I think you are... haya bana!! xx
Mayassa nashukuru umekubali hilo.... Akibadili utamkubali??? lol
Karibu Loliondo Pub(Samunge kwa Loya Mziray...) ipo Sinza kwa Remmy kati ya Miller Bar na B-Bar una Tusker Bariiiidi!!! 5 kwa Bill yangu...