Kwanini JF?

Kwanini JF?

Nyani Ngabu pleeeease Asha D would like to know why you joined do you mind feeding this curiosity of mine???

Oh man! I've been here for too long to remember with exactitude the whys and the wherefores of me joining.

All I can I say is I've been through it all, good and bad, and I've got the scars to prove it.

So one can't really fairly talk of JF without throwing my name
somewhere in there.
 
Niliingia toka Jambo Forums...2007 Nilisukumwa na Michango mbalimbali ya kusisimua...

Tusker Baridi finally the Avatar to the name...lol
naona nyie ndo maguru wenyewe hivyo appreciated sana
kwa kuelezea....

Thank you for sharing...
 
Alipofariki Chacha Wangwe(RIP) kwa ajali ya gari kule Dodoma mnamo mwaka 2008, tulikuwa tunaongelea issue hii na by then mpenzi wangu.

Basi akaniambia ingia www.jamiiforums.com , huko wanaongelea habari za nyumbani na yote yanayojiri kila kukicha mana alijua napenda sana kusoma magazeti na kufuatilia matukio ya kila siku ndani ya nchi yangu.

Basi nikaingia JF kuanza kusoma soma habari kila kukicha na hatimaye siku moja nikajiunga na kuendelea kuwa mwanafamilia wa JamiiForums.

Naifahamu ID ya X-mpz mana yupo active mpaka sasa ila yeye hanijui na sikutaka ajue nipo hapa basi tu bila sababu ya msingi..huwa nikimsoma sometimes nacheka kutokana na anavyo-comment!

In short, JF is such a cool place!!!

heheeh usikute x wa BJ ni CPU lol....................... natania tu wajameni
 
Oh man! I've been here for too long to remember with exactitude the whys and the wherefores of me joining.
All I can I say is I've been through it all, good and bad, and I've got the scars to prove it.
So one can't really fairly talk of JF without throwing my name
somewhere in there.

I get it all from the echoes of your typed words...
i get the picture and that is mo' than enough!

Thank you for sharing...
 
hAHAHAHA LOL wapi toyo niwahi hii ofa walahi kazi utanisamehe leo, nimecheka kwa sauti mwe! ndio maana sipendagi kuingia humu mwe! asha d utanisemehe mwaya nimeenda off topic, hebu niondoke niwahi ofa

I understand the msukumo...lol...

Jamani wachakachuaji wenzangu pleeeease slow down with kuchakachua...

:hail::hail::hail::hail:
 
I understand the msukumo...lol...

Jamani wachakachuaji wenzangu pleeeease slow down with kuchakachua...

:hail::hail::hail::hail:
Was just getting ready....poa ngoja nikatafute kwingine!
 
Mi nilikuwa naisoma sana kwenye comment za website ya misupu............ ilikuwa kama mtu mchango wake uko tofauti na mtizamo wa wengi pale alikuwa anashambuliwa kuwa sio mzalendo na aende huko kwa haters wenzake jf ndio kunamfaa. Ndio nikafahamy na mpaka leo sijarudi kule.
 
Kbd ni vizuri walikuboa maana ina mana ndo waliochangia uwe mmoja
wa JF member...that is good; na from the date umejiunga ni dhahiri
kua you have never regretted...

Thank you for sharing...
 
Hahaha...! Kweli mada tamu sana....! Lakini hebu tucheki hii kitu kwanza;

1. Tangu kujiunga JF - 45 days
2. JF membership Status - JF Senior Expert Member
3. No. of posts - 2,242
4. Date joined - 16 April 2011
5. rep Power - 28

Duh...! Kweli umekuwa addicted...!
 
Kbd ni vizuri walikuboa maana ina mana ndo waliochangia uwe mmoja
wa JF member...that is good; na from the date umejiunga ni dhahiri
kua you have never regretted...

Thank you for sharing...

Yaani my dia have no regrets kabisa.............nimejifunza mengi sana jf na ninaendelea kujifunza. Nikiboreka MMU naamia siasa na nikiboreka huko naenda kwingine kwa raha zangu. Naiombea JF idumu.:dance::dance::dance:
 
Back
Top Bottom