Kwanini JF?

Kwanini JF?

Hahaha...! Kweli mada tamu sana....! Lakini hebu tucheki hii kitu kwanza;

1. Tangu kujiunga JF - 45 days
2. JF membership Status - JF Senior Expert Member
3. No. of posts - 2,242
4. Date joined - 16 April 2011
5. rep Power - 28

Duh...! Kweli umekuwa addicted...!

Kona kali naamini huo ni udhibitisho tosha kua niloongea katika post ni kweli....lol..
Nipo rehab saizi... Juzi nilikua safarini, ilinibidi nicharge my laptop na ya dereva so that
walau niwe hewani for at least three hours.... I hope my personal rehab itafanya kazi..

:focus:

Tell me what prompted you...
 
Hii sredi nimegundua wengi wetu tunajibu uongo lakini tuvumiliane tu. heheh hapa kijijini wananiita Lawyer, naomba usibishe.
 
Hii sredi nimegundua wengi wetu tunajibu uongo lakini tuvumiliane tu. heheh hapa kijijini wananiita Lawyer, naomba usibishe.

Niko haywire, hebu rudia tena nielewe kwanini umesema hivyo..
 
Freedom of expression, knowledge and skills provided by members.... need I say more???

There is everything here my dear, kitchen parties.....
 
Code:
Asha D,  umemsoma kwa makini huyu greti thinka FA [COLOR=red]ambae daima namkubali  sana kwenye michango yake[/COLOR].  hii post yake ina maana pana sana. ubarikiwe  FA

Kama unamkubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa basi tusaidie kufafanua alimaanisha nini maana miye nimetoka kapa.........
 
Uongo upi huo mkuu klorokwini?

heheeh dah! magreti thinka punguzeni hasira bana. Wahusika tayari nimewaPM, kama haujapokea PM yangu basi ujue haumo kwenye listi ya waongo.
 
Code:
heheeh dah! magreti thinka punguzeni hasira bana. [COLOR=red]Wahusika tayari  nimewaPM, kama haujapokea PM yangu basi ujue haumo kwenye listi ya  waongo.[/COLOR]

tuthibitishie kama kweli umewatumia......................sisi hatuna namna ya kuthibitisha hilo................
 
Tusker Baridi finally the Avatar to the name...lol
naona nyie ndo maguru wenyewe hivyo appreciated sana
kwa kuelezea....

Thank you for sharing...
Hivi AshaD ile avatar yako ya zamani ni aje? niliizoea sana
 
Hivi AshaD ile avatar yako ya zamani ni aje? niliizoea sana

BB napenda that Avatar saaana, but nilikua napata PMs kila siku nibadilishe,
nilitia ngumu but eventually nikatoa... Naipenda ile cause mtu anashindwa
kuimagine the way you are.... ya namna niliyoweka iko so misleading....
 
in 2005 or 2006 kuna research nilikuwa nafanya for my MA. nika google kutafuta info fulani ndio nikajua JF ina exist. but sikuwa member. now am far from my family, i thought it is a good network for pasting time. Japo am now thinking of stopping before am addicted
 
Walionishawishi kujiunga na JF ni Tablets wawili Asprin na Klorokwin napenda sana michango yao na mawazo yao always huwa wanachangamsha sana jamvi...
Baada ya hapo Familia ya Tablets imeendelea kukua Fellow tablets, T F, Asprin, Klorokwin, Quinine(yupo kwenye siasa sana), na mimi mwenyewe Fellow Tablet1...
Viva JF
 
Ni vizuri kuchukua tha above hatua siku za mapema... ni kazi kuacha but still working on it...

Nyumba kubwa Thank you for sharing..
 
Partner nimeamua kwamba leo tunapiga kambi hapa maana huko kwingine hakueleweki!!Ila nasubiria subiria watu wamalize kushea....
 
Belinda Jacob of all the statement hio ndo imestand out kwangu.. poor guys
kila mmoja ataanza kutafakari kama amewahi recommend kwa Ex yeyote,
raha gani zaidi waweza pata zaidi ya kujua Ex anaendeleaje...lol...
I hope haaaribu - i feel for the guy...

Thank you for sharing...

Yaani acha tu wataumiza vichwa lakini hamna atakayepatia:tonguez:..I'm very smart on that mana hata scenario yenyewe atakuwa ameisahau halafu sikujiunga JF mwezi ule ule, ilinichukua miezi 5 zaidi ndiyo nikawa member. Muda mwingi napenda kusoma kuliko kuchangia!
Ila nikikumbuka nilivyojiunga JF, he cross my mind🙂))
Thanks for this topic Asha...

heheeh usikute x wa BJ ni CPU lol....................... natania tu wajameni

Ooh my good Lord!..nimepata mshtuko, yani kidogo upatie..he he!!..nimekusoma usijali Kloro
 
Walionishawishi kujiunga na JF ni Tablets wawili Asprin na Klorokwin napenda sana michango yao na mawazo yao always huwa wanachangamsha sana jamvi...
Baada ya hapo Familia ya Tablets imeendelea kukua Fellow tablets, T F, Asprin, Klorokwin, Quinine(yupo kwenye siasa sana), na mimi mwenyewe Fellow Tablet1...
Viva JF

I reciprocate .... VIVA JF!!!

Thankyou for sharing...
 
Partner nimeamua kwamba leo tunapiga kambi hapa maana huko kwingine hakueleweki!!Ila nasubiria subiria watu wamalize kushea....

Saa zote hizi nasuburi PM, mpaka nikadhani nimejaza nafasi
nikajua umesahau... umeongea la maana saana
Looking forward Partner...:dance:
 
Back
Top Bottom