Kwanini JF?

Kwanini JF?

Mimi nimeanza nayo tangu inaitwa Jambo forum, actually tangu YA.....so am kind of a legend here

Thanks Asha D....Mi sikumbuki kushawishiwa, niliingia kwa akili na utashi wangu mwenyewe....ndio kusema niliigundua mwenyewe kabla ya hivi vipaza sauti vya siku hizi

Pamoja sana....
haya legend...hongera sana sana!!!
 
My dear,hao hata majimboni/familia/kazini wapo tu.....watu wako bitter mpaka unajiuliza what next? na wana direct hiyo bitterness kwa watu ambao si wahusika wa matatizo yao,ila naelewa kwanini wako hivyo, so nimejifunza na nazidi kuwa diplomatic as days go....Lile jukwaa si la kuogopa,sema tu ukishaona hakuna manufaa ya kubishana,unaacha,pale unapoona umuhimu wa kutoa opinion yako unatoa,atakayetukana poa,ukipewa BAN poa pia....si mwisho wa maisha.....!!Nimekuzawadia kwa thread nzuri....!!!


You have said it all dearest Michelle.... and the words in purple; coming from you is a priviledge!


The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

Asha D (Today)
 
Kwa upande wangu,mimi kuna rafiki yangu aliniambia kuhusu jf,nikajiunga,yah nimepata kujua mengi kidogo but naendelea kujifunza!


Eiyer brother did not see your post... sorry...


Thank you for sharing....:A S-rose:
 
Freedom of expression, knowledge and skills provided by members.... need I say more???

There is everything here my dear, kitchen parties.....


Okada the thread ilienda fast saana so nilielemewa design...
sorry did not read your post....


Thank you for sharing.....:A S-rose:
 
Well said AD, nimebahatika saana kumuona Mzee DC at work
but ni observer mmoja matata saana hua haingilii kwa woote
but nimengundua the one anawajali lazima aingilie kati na
kutoa warning... sometimes in a mzaha way but very true....

Ahsante Asha....Ni matatizo ya huu uzee...kadri meno yanavyokongoroka mdomoni na maneno nayo yanaisha.

Tuko pamoja lakini. Dunia bila maua haina maana kabisa!!!


huwa napenda sana majibu yako
lakini kunawakati unajibu mpaka unayaharibu
mambo mengine si ya kusema kihasara kiasi hicho
we huwezi elewa mwisho wa maisha ya mtu hapa duniani..
kwa hiyo naomba siku nyingine nijibu kama usomavyo poster
yangu amasivyo niruke tuuu..

asanteeeee

AD,

Kanyaga mdogo mdogo dia...Unaweza kukosa usingizu bure na kuanza kuyakaribisha matatizo yasiyo na tija kama yale ya BP na nduguze akina stroke.....Weee cheka na kuminya jicho kama hujaona kitu....kwa afya yako!!
 
Ahsante Asha....Ni matatizo ya huu uzee...kadri meno yanavyokongoroka mdomoni na maneno nayo yanaisha.
Tuko pamoja lakini. Dunia bila maua haina maana kabisa!!!

Mzee Dark City umeeleweka kabisa na mimi naona macho
yako yanaona vizuri kabisa maana bado sijaona ulipokosea...
Nashukuru hata hivyo kwa fidbak - shows that you care
Naamin na Afro D atafurahi pia...
 
DC mtu muelewa sana
ila saa nyingine mvii zinazidi
na watoto wa 21 Century "kizazi cha dotcom"
(ndio msemo wake) wanamuumiza
kichwa lakini yumo .. ni mmoja wa watu niliongea nao
na kwa kweli kheshima zangu nampa.. ni mtu mwenye
busara sana saa zote yeye anatoa mafunzo yale ya mwaka
wa 1947... ..

Nimeona dear na nakubaliana nawe tena mambo ambayo
huingilia kati kuweka sawa saana ni relationships... alimpiga siku
moja beat wa karibu wangu kuhusu issue fulani, nika PM miwa kua
I should nirekebishe hio issue sababu Mzee DC hapendi....lol
Kweli nikarekebisha nikafuata mzee wa busara...

AD na Asha D (AD Mdogo) nimewapata sana na nimezitendea haki posts zenu!!! Nikumbusheni nikurudi safari nisisahu kuwaletea pipi...Unajua hii akili ya mwaka 1947 inashambuliwa na utelezi utelezi kama mrenda au bamia.....

Tuko pamoja lakini.....Mzee DC

kuna kitu jf ambacho nime notice

kuna members wanaingia kama college vile mnaita class of 2011

au class of 2009

sasa naweza sema hii class ya asha d,lizzy.dena amsi na michelle ni class ya aina yake

very very active na full of substance

Umenikumbusha mbaali sana Bro.....Enzi zetu hao walikuwa wanaitwa intake eg ya 2008, 2009, 2010 au 2011...Pale Muzumbe enzi za IDM kila intake ilikuwa inaacha historia pale kijijini (jirani na chuo). Usishangae kufika pale ukaambiwa huyo mtoto ni ADCA (adv dip in accountancy( 1996!!!! Hope na hii intake ya 2011 itaacha historia fulani hapa JF....Me watching eagerly!!
 
Mzee Dark City umeeleweka kabisa na mimi naona macho
yako yanaona vizuri kabisa maana bado sijaona ulipokosea...
Nashukuru hata hivyo kwa fidbak - shows that you care
Naamin na Afro D atafurahi pia...


Wewe Asha wewe,

Saa hizi bado uko hapa unafanya nini?

Wenzio tuko tunafarahia kuwaona wajukuu wamelala fofo na ndoto zao za ajabu ajabu. Wewe unangoja nini badala ya kuutafuta usingizi ili uongeze kimo? Hii sasa ni addiction squared!!

Mzee DC
 
I was then in alaska,boredom,baridi,homesickness,shule ngumu were hitting me left,right and centre.On the verge of cracking up,a pal back home akanipa coordinates za JF.Since then i have never looked back
 
Umenikumbusha mbaali sana Bro.....Enzi zetu hao walikuwa wanaitwa intake eg ya 2008, 2009, 2010 au 2011...Pale Muzumbe enzi za IDM kila intake ilikuwa inaacha historia pale kijijini (jirani na chuo). Usishangae kufika pale ukaambiwa huyo mtoto ni ADCA (adv dip in accountancy( 1996!!!! Hope na hii intake ya 2011 itaacha historia fulani hapa JF....Me watching eagerly!![/QUOTE]

kijiji kile ni changarawe-ma graduate wameacha watoto sana
 
Wewe Asha wewe,

Saa hizi bado uko hapa unafanya nini?

Wenzio tuko tunafarahia kuwaona wajukuu wamelala fofo na ndoto zao za ajabu ajabu. Wewe unangoja nini badala ya kuutafuta usingizi ili uongeze kimo? Hii sasa ni addiction squared!!

Mzee DC


Naondoka... nipo nje ya home mkoa mwingine, ni full kujiachia... Goodnite.
 
I was then in alaska,boredom,baridi,homesickness,shule ngumu were hitting me left,right and centre.On the verge of cracking up,a pal back home akanipa coordinates za JF.Since then i have never looked back


I can now see why the name.... good insight..
am glad in one way or another JF makes you feel at home
and am glad too you are one of the members....


Thank you for sharing..
 


Habari wana JF woote na familia yoote ya MMU….


Nina exactly 46 days toka nisikie kuhusu Jamii Forums na 45 days toka nijiunge …. Kila siku inapopita nafurahia na kuappreciate uamuzi wangu wa kuamua kujiunga katika JF na kua mmoja wa GT.. Nimepata marafiki wengi, Chat mates, PM mates, admirers na non admires, Knowledge katika kila sphere kama habari, urafiki, mapenzi, utani, elimu, sheria, siasa, entertainment e.t.c. And most importantly nimepata exposure kubwa saana in a lot of things….

Sababu kubwa ilinifanya kujiunga ni baada ya kusikia mmoja wa viongozi wetu akilalamika kua Jamii Forums ina chafua na kuharibu image ya serkali as well as Chama cha magamba…. (Namshukuru Mungu kila siku kwa huyo Leader kuipromote mpaka nikasikia) Hio ilinipush ni google kutaka nijue ni kitu gani, then nikaenda moja kwa moja kwenye International forum ambapo nilikutana na thread ambayo nilitaka saana nichangie sababu nilikua against na mtu alokua ametuma hio Thread (in fact alikua Rutashubanyuma) who ironically turned out to be one of my friends sasa… I had to register hapo hapo!

From that moment kila kitu kilifuata mkondo hadi when I found my home in MMU a week later… Cha ajabu kilichonifanya nijiunge sio kinachonifanya nibaki saizi…. Napenda every fun and activity I do while in JF, napenda watu behind the Avatars na above the Signatures, napenda the challenges I meet (ndo maana siasa hua nakimbia…), napenda kua watu wako huru kujiexpress regardless of age or gender, napenda kua kuna variety of topics and forums, Hio ikisukumwa na watu ninaowasiliana nao na kubadilishan mawazo katika uzi mbali mbali….

Naamini kila mmoja ana sababu tofauti ingawa nyingine zaweza fanana.. wewe kama member wa JF naomba mchango na mawazo yako ni kwanini au nani alikusukuma na kukushawishi uweze kua moja wa member wa JF ukitaka/kubali kua GT…

Asha D.
Pamoja Sana.

Mie niliisikia Jambo Forum (jina la wakati huo) katika vijiwe vya Wabongo. Katika mazungumzo mara nyingi walipenda kuzungumzia michango moto moto ya mwanachama mmoja kwa jina la wakati huo alikuwa anaitwa Mzee ES. Basi baada ya kusikia michango hiyo moto moto kwa kupitia kwa watu siku moja nikaamua kuitafuta kupitia google ili nami nimsome huyo Mzee ES (By the way alipata promotion ya nguvu na siku hizi anajulikana kwa jina la Field Marshall ES) basi kila nikiingia hapa nilikuwa natafuta jumbes za Mzee ES nikishazisoma mbili tatu nasepa hahahah lol! maana kulikuwa na sites zangu nyingine ambazo huko ndiko nilikokuwa nashangaashangaa sana, lakini kila siku ikawa narudi kuja kumsoma Mzee ES na vimbwanga vyake.

Baada ya muda kama wa siku 10 au wiki mbili hivi nikaanza kusoma michango ya wachangiaji wengine mbali mbali na hapo ndio nikaanza kujenga addiction taratibu na hii kitu inaitwa JF na wala sioni aibu kusema katika miaka zaidi ya minne sasa jamvi hili ndilo nakuwepo kwa muda mrefu sana kuliko site nyingine yeyote ile mtandaoni kusoma na kuchangia michango mbali mbali inayohusu hatima ya nchi yetu na mijadala mingine muhimu na pia burudani tosha katika majukwaa mengine mbali mbali yaliyopo hapa jamvini.

Nimekutana na watu wa maana sana hapa ambao naweza kusema wamekuwa marafiki wa karibu mno na wakati mwingine hushauriana mambo mbali mbali ya kimaisha ama hapa jamvini au pembeni. Ahsante sana Asha kwa uzi mzuri sana. Ubarikiwe sana. IDUMU JF! IDUMU!
YouTube - ‪Beyoncé - If I Were A Boy‬‏
 
Mimi kichwa ngumu kweli,nliifaham Jf toka 2007 ikiitwa jamboforum,nikawa navisit mara mojamoja,lakn last year nikajiunga then nikasahau password,lakn baada ya waziri kusema jf ni hatari,ooh nikarud na nika change password,last month nlikuwa kijijin kikaz,nikawa cna jambo la kufanya,nikawa naingia jf,hadi sasa nimekuwa an addict..Jf haina mpinzan,fb hamna kitu,thanks Asha D.
 
Mimi kichwa ngumu kweli,nliifaham Jf toka 2007 ikiitwa jamboforum,nikawa navisit mara mojamoja,lakn last year nikajiunga then nikasahau password,lakn baada ya waziri kusema jf ni hatari,ooh nikarud na nika change password,last month nlikuwa kijijin kikaz,nikawa cna jambo la kufanya,nikawa naingia jf,hadi sasa nimekuwa an addict..Jf haina mpinzan,fb hamna kitu,thanks Asha D.
Kwa hiyo ID yako ya zamani umeisahau?hongera keep it up
 
Mie niliisikia Jambo Forum (jina la wakati huo) katika vijiwe vya Wabongo. Katika mazungumzo mara nyingi walipenda kuzungumzia michango moto moto ya mwanachama mmoja kwa jina la wakati huo alikuwa anaitwa Mzee ES. Basi baada ya kusikia michango hiyo moto moto kwa kupitia kwa watu siku moja nikaamua kuitafuta kupitia google ili nami nimsome huyo Mzee ES (By the way alipata promotion ya nguvu na siku hizi anajulikana kwa jina la Field Marshall ES) basi kila nikiingia hapa nilikuwa natafuta jumbes za Mzee ES nikishazisoma mbili tatu nasepa hahahah lol! maana kulikuwa na sites zangu nyingine ambazo huko ndiko nilikokuwa nashangaashangaa sana, lakini kila siku ikawa narudi kuja kumsoma Mzee ES na vimbwanga vyake. Baada ya muda kama wa siku 10 au wiki mbili hivi nikaanza kusoma michango ya wachangiaji wengine mbali mbali na hapo ndio nikaanza kujenga addiction taratibu na hii kitu inaitwa JF na wala sioni aibu kusema katika miaka zaidi ya minne sasa jamvi hili ndilo nakuwepo kwa muda mrefu sana kuliko site nyingine yeyote ile mtandaoni kusoma na kuchangia michango mbali mbali inayohusu hatima ya nchi yetu na mijadala mingine muhimu na pia burudani tosha katika majukwaa mengine mbali mbali yaliyopo hapa jamvini. ]

Bak as much as it is a brief explanation ya why ulijoin
naona pia na kama a part of history ya JF ambayo ni interesting
to know... Suala la nchi yetu, hilo ni bonge la headache na it is so
dissapointing kua sometimes mtu unaona bora uwe interested na issues
za nje i.e. Libya badala ya ku stick our nose in things that concerns and
matters to us directly... Nawashukuru walo ku influence kwa wao kuchangia
kua JF member mpaka leo hii we are both members....


Thank you for sharing....:A S-rose:




Nimekutana na watu wa maana sana hapa ambao naweza kusema wamekuwa marafiki wa karibu mno na wakati mwingine hushauriana mambo mbali mbali ya kimaisha ama hapa jamvini au pembeni. Ahsante sana Asha kwa uzi mzuri sana. Ubarikiwe sana. IDUMU JF! IDUMU!
YouTube - ‪Beyoncé - If I Were A Boy‬‏



Bak asante kwa baraka zako may it be the same to you,
na reciprocate you saying... Idumu JF Idumu!!!
The Song.... I like Beyonce especially nyimbo zake za utulivu
acha zile alizo concentrate ku hit Soko... and this is one of her
song i love....


Thank you.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi kichwa ngumu kweli,nliifaham Jf toka 2007 ikiitwa jamboforum,nikawa navisit mara mojamoja,lakn last year nikajiunga then nikasahau password,lakn baada ya waziri kusema jf ni hatari,ooh nikarud na nika change password,last month nlikuwa kijijin kikaz,nikawa cna jambo la kufanya,nikawa naingia jf,hadi sasa nimekuwa an addict..Jf haina mpinzan,fb hamna kitu,thanks Asha D.


Hapa nilipenda saana ungekua umenipa insight ya kua mara
ngapi umejiunga.... kwamba was it a BAN ilosababisha ujiunge
upya December? au tu kama Mentor alivyosema kua multiple IDs
sababu ni mkongwe i believe nitajijunza kitu....


Thank you for sharing...
 
Back
Top Bottom