Sijui nyie wa chumba kimoja sie wa nyumba kamili mgeni yuko living room ataangalia kila kitu na akiingia chumbani well ni kweli mnaenda kitandani sasa aangalie darini kutafuta nini!Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa
Iv ni kwanini ukiingiza demu gheto kabula ya kuangalia yote hupenda sana kutupa jicho kitandan kabula ya kuangalia sehemu nyingine,
Kwanini waanzie kuangalia kitandan wakati gheto unakuta linavitu vingi kama tv kabati lakin wao huangalia kitandan tu kwanini