Kwanini Jina la DGIS wa sasa halikaririki na linahaulika upesi Kichwani tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi Modestus na Diwani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani kila nikijitahidi Kulikariri nashindwa na hata nikilijua tu ndani ya muda mfupi nalisahau tofauti na ilivyokuwa kwa Watangulizi wake Yule Mluguru ( Morogoro ) Tumbo Tumbo na Mpare ( Kilimanjaro ) Msomi na Mmedani Jeuri.

Je, na nyie Wenzangu mmeshindwa Kumkariri Jina lake na huwa mnalisahau kama Mimi?

Nisaidieni hivi Jina lake ni nani kwani wakati naanza Kuandika hii Thread nilikuwa nalikumbuka, ila hivi ninavyomalizia Kuandika nimeshalisahau.
 
hata cdf mpya jina lake halijakaa kigambo kabisa linakataa kukaa kwenye orodha
 
Hata mawaziri wa wizara hatuwajui ukimtoa January, Nape na Mwigulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…