mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Nawewe ulihamishwa kwenu akapewa mwarabu?Kwani mkuu; wewe hapo unapoishi kwa sasa ndipo ulipozaliwa na kukulia? Tukiendekeza Umimi tutajikuta tumegawanyika na hapo itakuwa shida kubwa e.g. Hao waliohamishwa/waliohama nao wataanza kudai simba,tembo,twiga,nyumbu n.k. i.e. wanyama pori nao wapelekwe huko walikohamia ili hao Maasai wajione kama bado wapo Ngorongoro/Loliondo.
Hapana aisee. Tudumishe umoja either uwe ni mmasai, mtindiga, mpare, mrangi, mchaga n.k. ishi pale unapotaka alimradi ufuate Taratibu zinazokubaliwa.
Ni zipi ndo ni Haki pekee za Wamasai tofauti na watu/makabila mengine au watu wengine? Tafakari mkuu.
Msitetee upuuzi