Kwanini Joseph Oleshangay anadhaniwa kuwa ni an Enemy of the People?

Nawewe ulihamishwa kwenu akapewa mwarabu?
Msitetee upuuzi
 
Nawewe ulihamishwa kwenu akapewa mwarabu?
Msitetee upuuzi
Kwetu ni wapi?
Mbona unakuza mambo kana kwamba umekosa mahali pa kuishi kwa sababu ya Mwarabu. Unamaanisha nini unaposema "...akapewa Mwarabu"?
 
Kwetu ni wapi?
Mbona unakuza mambo kana kwamba umekosa mahali pa kuishi kwa sababu ya Mwarabu. Unamaanisha nini unaposema "...akapewa Mwarabu"?
Inaonekana hujielewi na huelewi unachojadili hapa.
 
Kabisa. Au kila kabila liwe ni jimbo linalojitegemea ndani ya nchi. Huyu mama anaivuga nchi na kugawa kila kitu.
 
Namie nimesema ivi tuna umoja wa kusaini miktaba ya ovyo. Kujenga Monopoly katika soko fulani. Nenda kaone Ni Nani anayeruhusiwa kuagiza mafuta. Jpm alisema Kuna miktaba ya ovyo Kama 200 ya kuuza raslimali zetu si ndio umoja wenyewe huo lakini.
Gawio la dhahabu, diamond tunapata ngapi kwa umoja wetu. Bandari iyo inaenda kwa dp world hakuna kulipa tax na mktaba Ni milele sio umoja huo ama nakosea.


Kuna software ilikodiwa from India ya kufuatilia umeme kukatika kwa dola milioni 30, huku hakuna vifaa tiba huko Kijijini na mtt anakaa chini na pia darasa la udongo ,maisha ya watoto wetu yapo hatarini Ila mtu anajichotea 75bilioni tzs za kukodi software zimuambie kuwa Ni wapi umeme umekatika. Walimu wa masomo ya Sayansi hawapo wa kutosha hakuna hela ya kuwajiri Ila hela ya kuiba ipo.
Naona bana mna umoja mzuri mno endeleeeni nao kila Taifa linawaonea wivu.

Kia vipi mmepa mwarabu na wanyama vipi wanaenda uarabuni. Hivi mwinyi aliitoa ngorongoro miaka mingapi na mkapa akawapa madini wazungu miaka mingapi.

Gesi imeenda na tuliambiwa shida ya umeme inaenda kuisha ,Naona bana mna umoja haiwezekani makabila Mia na 40 kuishi bila ya Vita.
Nawakubali kwa umoja wenu Ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…