Kwanini Jua la Asubuhi sio kali kama Mchana na umbali ni uleule?

Kwanini Jua la Asubuhi sio kali kama Mchana na umbali ni uleule?

Aisee humu ndani kuna kila kitu hata kama kuna hesbu imekushinda we leta sie walimu tuishughulikie.
 
Ni geog teacher wa bachelar.
Majibu mliompa ni sahihi kabisa
ila man umenifurahisha sana
Nlisoma nikiwa mdogo kule madarasa kwene Quran kua jua linazunguka
lakin nlipofika form one nkaambiwa jua lipo stationary
Nkamuuliza mwalim wang kuhusu nlivosoma madrasa ikabidi amuite mwalim mwenzake ambae alikua.deep kwene Quran akanambia ni kweli jua linazinguka lakin wanasayansa bado wanafanya utafiti
ila sasa baada ya kua na degree nmeona umuhim wa kufanya intergration of knowledge
Yaani tusiwaamini sana wazung hawa na theory zao tujaribu kusoma na vitabu vya dini navyo vinasemaje kuhusu hlo

Sina maana ya kuharibu thread km wewe ila hata kwenye Biblia Takatifu Mussa aliweza kulisimamisha jua baada ya kuzidiwa na kutaka battle iendelee kukiwa kweupe pee bila giza! alizuia usiku usiingie. Sasa jiulize hapo alizuia dunia isijizungushe kwenye mhimili wake au jua lisijizungushe?!
 
NMEKUELEWA SANA NDGU ILA TU NLIPOONA HYO COMMENT NDO NKAKUMBUKA KITAMBO KUHUSU HZO ROTATION samahani bwana kama nmekuboa ndugu yang
 
Sina maana ya kuharibu thread km wewe ila hata kwenye Biblia Takatifu Mussa aliweza kulisimamisha jua baada ya kuzidiwa na kutaka battle iendelee kukiwa kweupe pee bila giza! alizuia usiku usiingie. Sasa jiulize hapo alizuia dunia isijizungushe kwenye mhimili wake au jua lisijizungushe?!

Samahan kaka kama nmeharibu thread yako....ila sikua namaanisha udini wala nani zaidi
Nnachomaanisha tuwe tunafanya intergration of knowledge kwa maana hata vitabu vya dini vmeandika habar nying za Kijiografia na biolojia...
na nnlichoquote ni mojawapo ya kitabu cha dini kilichoeleza hzo mishe ila kama na wewe unaunapojua ni vyema tukaelimishana sababu unachojua ww sio nnachojua mimi...kwa hyo ni lazima tutegemeane kwene knowledge na hapo ndo tofauti ya wasomi na wasiowasomi
Kama ntakua nimekosea niwie RADHI NI BINADAM SIJAKAMILIKA NDGU
 
Ameuliza kwa lugha ya kiswahili kwanini umjibu kwa lugha ya kiingereza?

I'm so sorry ...kiswahili mi kutafsiri kinanipa shda kwa uelewa uleule niliomaanisha...ila majibu kayapata ....kumbuka ugunduzi mwingi unafanywa na non Africans pia
 
Jua la asubuhi linakuwa limetoka kulala ndo maana sio kali sana ila lile la mchana linakuwa limeshaanza kazi ndo maana linakuwa kali.

hii ndiyo tofauti kati ya waliosoma na wasiosoma.
NB: jaribu kuwa mtu mzima
 
Sina maana ya kuharibu thread km wewe ila hata kwenye Biblia Takatifu Mussa aliweza kulisimamisha jua baada ya kuzidiwa na kutaka battle iendelee kukiwa kweupe pee bila giza! alizuia usiku usiingie. Sasa jiulize hapo alizuia dunia isijizungushe kwenye mhimili wake au jua lisijizungushe?!

Biblia imeandikwa na nani?
 
Theory and not estabished fact. that what we have been taught in the past but it has been discovered just recently the sun is also moving... google you will see...

It is true. Jua na sayari zilizoshikiliwa katika mfumo wake vinazunguka kuzunguka katikati ya Galaxy yake (Milk Way Galaxy).
Na sio jua tu, hata nyota na kila kitu vinazunguka kama Spiral kuzunguka centre of the galaxy.
 
View attachment 278445
Nadhani wengi wameshatoa majibu. Ukali wa mionzi ya Jua kupiga usawa wa dunia unategemeana na
  • Ncha (Angle),
  • Umbali (Distance), na
  • Position ya eneo.
 
Sina maana ya kuharibu thread km wewe ila hata kwenye Biblia Takatifu Mussa aliweza kulisimamisha jua baada ya kuzidiwa na kutaka battle iendelee kukiwa kweupe pee bila giza! alizuia usiku usiingie. Sasa jiulize hapo alizuia dunia isijizungushe kwenye mhimili wake au jua lisijizungushe?!

Aliye simamisha jua kwa mujibu wa maandiko matakatifu (Biblia) ni Yoshua sio Musa.
 
Back
Top Bottom