Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini Ni wapi Sasa,umesema sayari zinaelea dunia nayo Ni sayari ieleayo,ulikuwa unataka Kuja hizi sayari zidondokee wapi?
Nalog off
si zidondoke chini ardhini
Hapo ndio ujue kuna one supreme being that's GOD the master of the people and the universe.
Anajaribu kuproves uweza wake tu Baba yangu huyu mtukufu..Adonai, Allah, jehova,
Wakuu kuna mada fupi hapa,
Eti kwanini Jua, Mwezi, Nyota na Sayari zinaelea angani? Kwanini hazianguki chini? Pia kwanini nyota na mwezi huonekana wakati wa usiku tu?
Teh teh teh
Nyie Mna vituko sana.kila kitu Mungu?Duh
Mkuu K 4 LIFE kuna Nadharia Mbili katika Fizikia ambazo zinaweza kujibu swali lako;
Ya kwanza ni nadharia ya UHUSIANIFU au General RelativityyaAlbert Einstein Au Gravitational ya Newton.
For sake of simplicity,nitatumia ya Sir.Isaac newton.
Ipo hivi;tuangalie Mfano rahisi wa Jua na Mwezi.
Kwa mtazamo wa Newton,kila kitu chenye tungamo/Mass huvutana na kingine.Ni kama ncha mbili za sumaku N na S zinavyovutana,na kitu chenye uzito mkumbwa ndiyo huwa na Kani kubwa ya uvutano.
Mfano,Dunia ina tungamo kubwa kuliko mwezi,kwahiyo ina kani kubwa sana Ambayo inaweza kuuvuta Mwezi kama vile jiwe linavyovutwa na Dunia
Lakini Mwezi hauanguki kwasababu Moja;
Mwezi una Angular velocity kubwa ambayo inatosha kabisa kubalance Gravitational Force ya Dunia.
Hapo ndio ujue kuna one supreme being that's GOD the master of the people and the universe.
Anajaribu kuproves uweza wake tu Baba yangu huyu mtukufu..Adonai, Allah, jehova,
Hata watu kama nyie mna vituko sana.
Hivi nikikuuliza kabla ya wachunguzi (wanasayansi)kufanya uvhunguzi wao na kuyapa majina matokeo ya huo uchunguzi, ulimwengu na vilovyomo vilivyomo vilikuwa vinaitwaje???
Haya yote yamekuwaje hivyo?
Yaani imetokeaje tokeaje ikawa hivyo?
Ilikuwaje hiyo Big Bang ikatokea?Please Refer to BIG-BANG-MODEL.
I didn't ask you about this....Ila kama wewe ni Mfia Dini kafungue Bible usome zile Ngonjera za Genesis.