FitinaHuyu mwamba alikuwa anaujua sana hasa anapocheza dimba la chini. Alicheza vizuri sana, cha kushangaza aliondoka baada ya msimu mmoja tu, je nini sababu iliyomfanya Mzimbabwe yule kukaa kwa muda mfupi Simba ilhali alikuwa anaujua vizuri mpira?
Derby njema jamani
Alienda ilipo family yake marekani alisema anataka kuwa karibu na mke wakeHuyu mwamba alikuwa anaujua sana hasa anapocheza dimba la chini. Alicheza vizuri sana, cha kushangaza aliondoka baada ya msimu mmoja tu, je nini sababu iliyomfanya Mzimbabwe yule kukaa kwa muda mfupi Simba ilhali alikuwa anaujua vizuri mpira?
Derby njema jamani
Hili ndio jibu aliomba uongozi akatishe mkataba ili akakae karibu na familiaAlienda ilipo family yake marekani alisema anataka kuwa karibu na mke wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vyura hata huyo mchezaji hawamjui wanaropoka ropoka tuHili ndio jibu aliomba uongozi akatishe mkataba ili akakae karibu na familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Magari ya mkaa hayoKuna vyura hata huyo mchezaji hawamjui wanaropoka ropoka tu
Alikua very smart Yule Jamaa na muda wote kachomekea na anapiga kazi balaa na kina method mwanjali Besala Bukungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu acha chumviKila mechi wana amriwa kunywa au kupakwa madawa ya kienyeji akaona isiwe taabu aka amua kukimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawasawaHili ndio jibu aliomba uongozi akatishe mkataba ili akakae karibu na familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Alipewa hirizi akagoma.Kila mechi wana amriwa kunywa au kupakwa madawa ya kienyeji akaona isiwe taabu aka amua kukimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app