Kwanini Justice Majabvi alicheza Simba msimu mmoja tu?

Kwanini Justice Majabvi alicheza Simba msimu mmoja tu?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Huyu mwamba alikuwa anaujua sana hasa anapocheza dimba la chini. Alicheza vizuri sana, cha kushangaza aliondoka baada ya msimu mmoja tu, je nini sababu iliyomfanya Mzimbabwe yule kukaa kwa muda mfupi Simba ilhali alikuwa anaujua vizuri mpira?

Derby njema jamani
 
Alienda ilipo family yake marekani alisema anataka kuwa karibu na mke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mambo hakukubaliana nayo kwa jinsi simba ilivyokuwa inaendeshwa lakini aliachana nao salama na ndiye aliyewatafutia simba beko Method Mwanjali.Alimzidi Mkude kwa Mbali sana alikuwa anaweza kucheza hadi namba tano
 
Alikimbia viwembe, a.k.a mambo ya kuchanjwa chali
 
bongo uchawi mwingi hasa hawa wachezaji wa simba na yanga..kurogana ni jambo la kawaida

mfano mechi ya jana KMC kadaka kaseja na katoka kwenye majeraha..
ukirudia mechi ya KMC waliyocheza na simba
yule kipa mburundi yuko vzr mno kwa hapa bongo hakuna kipa anayemkaribia kiwango
ika kwa wachezaji wa bongongo wote mauza uza
wanawanga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom