Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Dah ni mimi sijakuelewa au ? "Alikuwa alerted asipande ndege siku hiyo lakini yeye akaamua kupanda ndege siku hiyo "
Sasa kama alipewa taarifa asipande ndege halafu mwenyewe akalazimisha apande wa kulaumiwa hapa ni nani kama sio yeye ?
Kuna watu wana hulka za ajabu wanaona kila wakisemacho wao ndio wako sawa kwa mfano kuna bwana yule alienda na motorcade yake mpaka Kigali ,tuseme angapewa taarifa labda wana wasiwasi apande ndege unafikiri kwa kujua sana kwake angepanda ?
Au pengine alilazimishwa na hakawa hana option nyingine labda miaka 30 ijayo ukweli utawekwa wazi