Kwanini Juvenal Habyarimana alilazimisha kurudi Kigali licha ya taarifa za kiintelijensia

Dah ni mimi sijakuelewa au ? "Alikuwa alerted asipande ndege siku hiyo lakini yeye akaamua kupanda ndege siku hiyo "

Sasa kama alipewa taarifa asipande ndege halafu mwenyewe akalazimisha apande wa kulaumiwa hapa ni nani kama sio yeye ?

Kuna watu wana hulka za ajabu wanaona kila wakisemacho wao ndio wako sawa kwa mfano kuna bwana yule alienda na motorcade yake mpaka Kigali ,tuseme angapewa taarifa labda wana wasiwasi apande ndege unafikiri kwa kujua sana kwake angepanda ?

Au pengine alilazimishwa na hakawa hana option nyingine labda miaka 30 ijayo ukweli utawekwa wazi
 
Inawezekana Habyarimana alihisi kutokea kwa hatari so alimtumia Cyprian Ntayamirwa kama Human shield inawezekana aliamini adui zake wasingemtungua kwa sababu alikuwa na Rais wa Burundi on board
 
nimependezwa post yako juu ya vita vya ruanda na burundi
 
Kama ni kweli haya uyanenayo basi ilikuwa sikio la kufa................................
 
Reactions: Ctr
We jamaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…