Kwanini Kaburu anakuwepo kila tukio la TFF

Kwanini Kaburu anakuwepo kila tukio la TFF

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Swali hili ningemuuliza Jamali Malinzi ila ni muda mrefu maswali hajajibu labda wadau wanaweza kunijibu.

hivi kila kikao cha tff kutoa tamko hata makocha wa stars lazima G. Nyange kaburu lazima yupo je yeye kama nani kwenye hivyo vikao?
au anaiwakilisha serikali?

Vyeo vya Godfrey Nyange Kaburu TFF ni kama ifuatavyo:

1. Ni mjumbe kamati ya utendaji TFF.

2. Ni mjumbe mkutano mkuu wa TFF.

3. Ni mjumbe wa bodi inayosimamia ligi kuu bara

4. Ni mjumbe wa kamati ya mashindano TFF

Mkuu wakimataifa maamuzi mazito juu ya soka letu yanapokua yanatolewa, mtu muhimu kama Godfrey Nyange Kaburu lazima awepo.
 
Nikitazama hivyo vyeo ndio sasa napata picha vizuri kwanini ligi yetu inakuwa figisu figisu nyingi. Viongozi wa vilabu wangebaki huko huko kwenye vilabu wasiingie tff.
 
Nikitazama hivyo vyeo ndio sasa napata picha vizuri kwanini ligi yetu inakuwa figisu figisu nyingi. Viongozi wa vilabu wangebaki huko huko kwenye vilabu wasiingie tff.

Mkuu hata hao ambao si viongozi wa vilabu, lazima watakua na mapenzi ya hizi timu 2 za kariakoo.. Pia kumbuka katika uchaguzi wa TFF hizi timu za kariakoo hupambana sana ili kuhakikisha "watu" wao wanaingia TFF.. na kazi kuu ya hao mapandikizi ni kutetea maslahi ya waliompigania aingie madarakani.
 
ukimwona mtu anavyeo vingi kwa taasisi moja mtu huyo anasifa ya kitapeli
 
ukimwona mtu anavyeo vingi kwa taasisi moja mtu huyo anasifa ya kitapeli

Haha.. Mkuu ulitaka kujua Kaburu ni nani TFF.. umejuzwa.. sasa unaibuka na hoja ya utapeli? Utapeli wake unatoka wapi?
Ikumbukwe hivyo vyeo vyote amechaguliwa kutokana na kua na vigezo stahiki.
 
Back
Top Bottom