wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
Swali hili ningemuuliza Jamali Malinzi ila ni muda mrefu maswali hajajibu labda wadau wanaweza kunijibu.
hivi kila kikao cha tff kutoa tamko hata makocha wa stars lazima G. Nyange kaburu lazima yupo je yeye kama nani kwenye hivyo vikao?
au anaiwakilisha serikali?
hivi kila kikao cha tff kutoa tamko hata makocha wa stars lazima G. Nyange kaburu lazima yupo je yeye kama nani kwenye hivyo vikao?
au anaiwakilisha serikali?
Vyeo vya Godfrey Nyange Kaburu TFF ni kama ifuatavyo:
1. Ni mjumbe kamati ya utendaji TFF.
2. Ni mjumbe mkutano mkuu wa TFF.
3. Ni mjumbe wa bodi inayosimamia ligi kuu bara
4. Ni mjumbe wa kamati ya mashindano TFF
Mkuu wakimataifa maamuzi mazito juu ya soka letu yanapokua yanatolewa, mtu muhimu kama Godfrey Nyange Kaburu lazima awepo.