Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Mtanzania amchukie Kagame kwa lipi, wanaomchukia Kagame ni wanyarwanda waliopo Uganda, Kenya, na hapa Tanzania ambao ni members wa JF. Nasema kwa uhakika, wanyarwanda wengi waliopo Kenya wanamchukia sana Kagame and wish him dead kwa jinsi alivyoua watu kwenye genocide back in 1994.
 
Rwanda haina umoja bali watu wanaishi kwa uwoga, kama ambavyo mnatengenezwa wabongo sasa hivi.
Hizo laptop project sio serikali ni wahisani ndio walifanya hiyo kutokana na hali iliyopitia.
Vitu ulivyosema ni vyote wazungu ndio wahisani.
 
Rwanda ni sawa na Dar hata kama ukipewa ww unaweza kuleta maendeleo. Usilinganishe Rwanda na Tanzania
 
Kagame ni kagame ni mwizi mkubwa ...bepari linalo changia kuifanya Congo ishindwe kuwa mahala salama pakuishi ....so tukiwa wapenda haki tunaanzaje kumpenda mtu kama huyo
 
There is thin line between hate and love, most of kagame haters are loosers and genocide perpetrators
Mna propaganda za kijinga sana,him a empire mtabaki nayo kwenu huko huko ,nyamba**
 
Mnyarwanda gani anaridhika na kagame, Kama hujawahi kufika Kigali kaa kimya mkuu, wale watu wanaishi Kama wako Utumwani, kumzungumzia kagame kwa zuri au Baya Ni kujipalia makaa ya Moto muda wowote unakula risasi hadharani...
Kwani wewe unaridhika na rais wetu wa sasa? Hata marekani kuna wengi hawampendi Trump lakini mambo yanakwenda.
Mwenye macho haambiwa tazama. Rwanda na Burundi zilikuwa zinakaribiana sana kimaendeleo. Jee hivi sasa unaweza kuzifananisha?
Mimi binafsi ni muumini wa demokrasia lakini siyo demokrasia ya kimagharibi. Kimila nchi za kiafrika hazina haja ya kufundishwa demokrasia za wale ambao miaka hamsini iliyopita walituona kama ngedere na walipolazimika kutuacha ndipo hapo walipomwaga sumu ya kuweka vikaragozi wao na pale walipoona kuna manufaa kwao walitengeneza mizengwe iliyoleta maafa makubwa afrika.
Asilimia 90 ya migogoro yote ya afrika imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hao waumini wakubwa wa demokrasia.

Rwanda ilistahili kabisa kuwa na aina rais kama Kagame. Vita yake kubwa ilikuwa kwa vijana kufyekelea mbali uhutu na utusi na kuleta uzalendo. Kutokana na uchanga wa demokrasia nchini humo kuna wakubwa wengi hawapendi hali ya hivi sasa. Ile conduit ya kupitisha madini upande wa mashariki imezibwa. Hivyo choko choko lazima ziwepo.
 
Usipende kujidhalilisha na kuidhalilisha nchi yako mbele ya kanchi ka ajabu kama Rwanda kwa sababu ya cheap politics.
 
Mbona Burundi Ina saiz Kama ya Rwanda lakin bado wako nyuma ,

Alafu mkuu , inchi yetu ya tz kwa ukubwa wake na rasrimali zake zote tulizonazo , kimaendeleo ilitakiwa tuwe Kama marekani
Wewe si Mtanzania.
 
Kweli kabisa , hizi Ni chuki tu binafsi na wivu uliopitiliza , nashangaa sioni wakimutukana Nkurunziza au kumukosoa kwa Mambo yake , why always kagàme and rwanda ?

Waiache Rwanda , wao mbona hawaiongelei tz Kama ss tunavyoiongelea ??
Wanyarwanda munapenda kujisifia, lakini maskini wa kutupwa na watu dhaifu sana.
 
Kiswahili tumejifunza ukubwani , tumekulia kijijini huko ambapo tulikuwa tunaongea kiluga Cya kabira letu , ukionekana unaongea kiswahili watu wanakuokopa Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiki Kiswahili ni fasaha kweli kweli.
 
Na wewe ni walewale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…