Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku akitoka madarakani ndo utayasikia mengi labda afie pale ikulu na dalili ziko wazi kabisaTuwekee pasipo shaka uhusika wa kagàme Kwenye genocide ya 94 ,kama hutoweka tu maneno maneno ya kupapasa tu , au huelewi maana ya hiyo genocide
Kwa taarifa yako wahutu Ni 80% ya population ya Rwanda ,
Ingekuwa Kuna ubaguzi , basi kagàme asingekuwa rais mpk Sasa,
Na hiyo ya ndege , hakuna ushahidi kama kagàme alihusika , Ni maneno tu ya kupapasa ,
NAONA ANAANDAAA MTU hingera dr Sesberasiku akitoka madarakani ndo utayasikia mengi labda afie pale ikulu na dalili ziko wazi kabisa
Tuwekee pasipo shaka uhusika wa kagàme Kwenye genocide ya 94 ,kama hutoweka tu maneno maneno ya kupapasa tu , au huelewi maana ya hiyo genocide
fuatilia historia vizuri utajua kitu ka si kugundua mkuuHiyo genocide hakuifanya yeye , waliifanya FDLR yaàni mainterahamwe , hivi inaingia akikini yeye aue kabira lake Kweli ??
Hào Ni wafaransa na wabelgiji wanamchafua tu
Ikumbukwe kwamba waliokuwa madarakani ni hao mainterahamwe , na maeneo nyeti Kama Kigali air port zilikuwa chin yao , Sasa wakati Akina Juvenal Habyarimana na Cypren Ntaryamira wanauawa , RPF waliwezaje kuoenyeza hizo siraha uwanja wa ndege uliokuwa chin ya ulinzi mkali ?Huelewi ninachozungumza, Mimi ninazungumzia "cause and effect"
Wewe unazungumzia "effect" tu. Na kamwe huwezi kutanzua shida yoyote kama utaangalia "effects" pekee bila kuangalia pia "causes". Na ukidhibiti "causes" ndipo automatically unapoweza kudhibiti "effects", kilichotokea Rwanda 1994, keo kinaweza kutokea popote katika Afrika kwa sababu "sababu" hazizungumzwa kama njia ya kuwafariji/kuwaliwaza Watutsi ambao wao ndio walikuwa victims wakubwa wa "the genocide".
Sasa "cause" ya the genocide ni zile Ant- aircraft missiles za RPF, zilizowekwa kwa siri Kigali Airport kwa madhumuni ya kutungua ndege ya Rais Habyarimana ili afe na itokee vurugu na RPF ikisaidiwa na nchi fulani ya jirani yake wachukue madaraka kirahisi, na ndivyo ilivyotokea lakini hawakujua kama maisha ya watutsi takriban Milioni "yangelipa hiyo gharama"-- tamaa za kushika dola zilifumba macho ya akili zao kuweza kutambua kitakachotokea.
Leo anasiwa kwa kuiendeleza Rwanda gharama ya roho za ndugu zake.
Hiyo ndiyo maana ya "cause and effect" katika tukio la 1994 Rwanda genocide.
Mfano ni kama mtu augue malaria na nyinyi muanze kutibu dalili za malaria (homa),badala ya kutibu ugonjwa wenyewe. That's you are treating symptom instead of the disease per se.
Naijua kuliko unavyodhanifuatilia historia vizuri utajua kitu ka si kugundua mkuu
ok ni vyema kwa waijua ila utakubaliana nami kuwa Kagame anamkono wake kwenye 94 mauajiNaijua kuliko unavyodhani
Ikumbukwe kwamba waliokuwa madarakani ni hao mainterahamwe , na maeneo nyeti Kama Kigali air port zilikuwa chin yao , Sasa wakati Akina Juvenal Habyarimana na Cypren Ntaryamira wanauawa , RPF waliwezaje kuoenyeza hizo siraha uwanja wa ndege uliokuwa chin ya ulinzi mkali ?
Haiingii akili mkuu
Mkuu, unajitahidi Sana kujitetea , lakin nahis na wewe unahusika kwenye hayo mauwajiIntarahamwe halikuwa ni "trained army" lilikuwa kama "militia" (wanamgambo) tofauti na RPF ambao walikuwa "trained". Interahamwe ilikuwa na mapungufu mengi na ndiyo maana RPF waliingia kirahisi Rwanda baada ya wao kumuua Rais Habyarimana, ulinzi uliokuwepo air port ulikuwa hafifu na wala wakati ule hawakutaraji kama tukio lile lingeweza kutokea USIKU ule.
Bado ninasisitiza kuwa Kagame aliwatoa kafara ndugu zake bila kujua kwa ajili ya uroho wa madaraka, kwa hiyo asipige kelele na manung'uniko juu ya "the genocide" Yeye (RPF) ndiyo chanzo (the cause).
Maskini, roho moja ya Habyarimana imeponza roho million za watu wasiyo na hatia, kisa tu KUONDOA MADARAKANI UTAWALA WA WAHUTU.
Jambo kama hilo Kagame anajaribu kuliingiza Burundi, na hii ndiyo shida ya Watutsi.
Hujafika Kigali wewe, labda ulifika bujumbura ukadanyanywa ndio KigaliNilipofika Kigali nilimdharau sana Kagame na kuwashangaa watanzania kwa kutojivunia nchi yenye Maziwa na Asali tuliyojaaliwa.
Kifupi; Kigali bado sana kwa kila namna labda kidogo usafi. Hizo story tunazodanganyana huku kwetu kuhusu Rwanda na Kagame ni propaganda tu za wanyarwanda na tabia yao ya kujivunia chao lkn kiuhalisia wana maisha magumu mno.
Siyo kweli , kagàme yeye Ni mkombozi wa rwandaok ni vyema kwa waijua ila utakubaliana nami kuwa Kagame anamkono wake kwenye 94 mauaji
sawa mkuuSiyo kweli , kagàme yeye Ni mkombozi wa rwanda
Mkuu, unajitahidi Sana kujitetea , lakin nahis na wewe unahusika kwenye hayo mauwaji
Wee utakuwa interahamwe