Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kagame Njoo huku jitetee kwanini sisi wabongo hatukupendi?
 
Tuwekee pasipo shaka uhusika wa kagàme Kwenye genocide ya 94 ,kama hutoweka tu maneno maneno ya kupapasa tu , au huelewi maana ya hiyo genocide
siku akitoka madarakani ndo utayasikia mengi labda afie pale ikulu na dalili ziko wazi kabisa
 
Kwa taarifa yako wahutu Ni 80% ya population ya Rwanda ,

Ingekuwa Kuna ubaguzi , basi kagàme asingekuwa rais mpk Sasa,

Na hiyo ya ndege , hakuna ushahidi kama kagàme alihusika , Ni maneno tu ya kupapasa ,

Kagame anajaribu kuwapendezesha Wahutu ili kuficha uhalifu, wao ndiyo waliomuua Rais Habyarimana, na "they paid the cost" wangalijua kingetokea nini baada ya kumuua Habyarimana kamwe wasingejaribu kufanya jambo hilo, maskini takribani roho za watu milioni moja imelipia roho moja.

RPF, kipindi hicho wao ndio walikuwa wanaharakati wa "ukombozi" wa Rwanda na walikuwa na hamu kubwa ya "kutawala" na hiyo ndiyo mentality ya Watutsi. Kila anapokaa mtutsi ni yeye anayependa madaraka na utawala na hapendi kukosolewa na kushauriwa, yeyote atakaye kosoa anakua adui, hivyo ndivyo Rwanda inavyoendeshwa kwa sasa, Kuanzia sasa hakuna Muhutu yeyote atakayeshika Uongozi wa juu Rwanda hadi mapinduzi yatokee na yatamwaga damu sana kwa sababu Watutsi hawatakubali Mhutu achukue tena nchi.

Na tatizo hilo linataka kutokea Burundi kwa msaada wa Kagame.
 
Tuwekee pasipo shaka uhusika wa kagàme Kwenye genocide ya 94 ,kama hutoweka tu maneno maneno ya kupapasa tu , au huelewi maana ya hiyo genocide

Huelewi ninachozungumza, Mimi ninazungumzia "cause and effect"

Wewe unazungumzia "effect" tu. Na kamwe huwezi kutanzua shida yoyote kama utaangalia "effects" pekee bila kuangalia pia "causes". Na ukidhibiti "causes" ndipo automatically unapoweza kudhibiti "effects", kilichotokea Rwanda 1994, keo kinaweza kutokea popote katika Afrika kwa sababu "sababu" hazizungumzwa kama njia ya kuwafariji/kuwaliwaza Watutsi ambao wao ndio walikuwa victims wakubwa wa "the genocide".

Sasa "cause" ya the genocide ni zile Ant- aircraft missiles za RPF, zilizowekwa kwa siri Kigali Airport kwa madhumuni ya kutungua ndege ya Rais Habyarimana ili afe na itokee vurugu na RPF ikisaidiwa na nchi fulani ya jirani yake wachukue madaraka kirahisi, na ndivyo ilivyotokea lakini hawakujua kama maisha ya watutsi takriban Milioni "yangelipa hiyo gharama"-- tamaa za kushika dola zilifumba macho ya akili zao kuweza kutambua kitakachotokea.

Leo anasiwa kwa kuiendeleza Rwanda gharama ya roho za ndugu zake.

Hiyo ndiyo maana ya "cause and effect" katika tukio la 1994 Rwanda genocide.

Mfano ni kama mtu augue malaria na nyinyi muanze kutibu dalili za malaria (homa),badala ya kutibu ugonjwa wenyewe. That's you are treating symptom instead of the disease per se.
 
Hiyo genocide hakuifanya yeye , waliifanya FDLR yaàni mainterahamwe , hivi inaingia akikini yeye aue kabira lake Kweli ??

Hào Ni wafaransa na wabelgiji wanamchafua tu
fuatilia historia vizuri utajua kitu ka si kugundua mkuu
 
Huelewi ninachozungumza, Mimi ninazungumzia "cause and effect"

Wewe unazungumzia "effect" tu. Na kamwe huwezi kutanzua shida yoyote kama utaangalia "effects" pekee bila kuangalia pia "causes". Na ukidhibiti "causes" ndipo automatically unapoweza kudhibiti "effects", kilichotokea Rwanda 1994, keo kinaweza kutokea popote katika Afrika kwa sababu "sababu" hazizungumzwa kama njia ya kuwafariji/kuwaliwaza Watutsi ambao wao ndio walikuwa victims wakubwa wa "the genocide".

Sasa "cause" ya the genocide ni zile Ant- aircraft missiles za RPF, zilizowekwa kwa siri Kigali Airport kwa madhumuni ya kutungua ndege ya Rais Habyarimana ili afe na itokee vurugu na RPF ikisaidiwa na nchi fulani ya jirani yake wachukue madaraka kirahisi, na ndivyo ilivyotokea lakini hawakujua kama maisha ya watutsi takriban Milioni "yangelipa hiyo gharama"-- tamaa za kushika dola zilifumba macho ya akili zao kuweza kutambua kitakachotokea.

Leo anasiwa kwa kuiendeleza Rwanda gharama ya roho za ndugu zake.

Hiyo ndiyo maana ya "cause and effect" katika tukio la 1994 Rwanda genocide.

Mfano ni kama mtu augue malaria na nyinyi muanze kutibu dalili za malaria (homa),badala ya kutibu ugonjwa wenyewe. That's you are treating symptom instead of the disease per se.
Ikumbukwe kwamba waliokuwa madarakani ni hao mainterahamwe , na maeneo nyeti Kama Kigali air port zilikuwa chin yao , Sasa wakati Akina Juvenal Habyarimana na Cypren Ntaryamira wanauawa , RPF waliwezaje kuoenyeza hizo siraha uwanja wa ndege uliokuwa chin ya ulinzi mkali ?
Haiingii akili mkuu
 
katika swala la maendeleo ya Rwanda nampa mkono sana mkali PK maana nchi kaitoa katika shida aliyoisababishia hadi kuwa alipotaka yeye na walio kuwa wake.
simkubali maana alishiriki kwa namna moja ama nyingine katika mauaji ya 94
pili yeye anamkono wake pale Congo kitu ambacho kamwi sikikubali na kukiafiki maana watu wanashindwa kukaa kwa amani kwasababu ya mwafrica mmoja kwa maslahi yake binafsi
 
Nilipofika Kigali nilimdharau sana Kagame na kuwashangaa watanzania kwa kutojivunia nchi yenye Maziwa na Asali tuliyojaaliwa.
Kifupi; Kigali bado sana kwa kila namna labda kidogo usafi. Hizo story tunazodanganyana huku kwetu kuhusu Rwanda na Kagame ni propaganda tu za wanyarwanda na tabia yao ya kujivunia chao lkn kiuhalisia wana maisha magumu mno.
 
Ikumbukwe kwamba waliokuwa madarakani ni hao mainterahamwe , na maeneo nyeti Kama Kigali air port zilikuwa chin yao , Sasa wakati Akina Juvenal Habyarimana na Cypren Ntaryamira wanauawa , RPF waliwezaje kuoenyeza hizo siraha uwanja wa ndege uliokuwa chin ya ulinzi mkali ?
Haiingii akili mkuu

Intarahamwe halikuwa ni "trained army" lilikuwa kama "militia" (wanamgambo) tofauti na RPF ambao walikuwa "trained". Interahamwe ilikuwa na mapungufu mengi na ndiyo maana RPF waliingia kirahisi Rwanda baada ya wao kumuua Rais Habyarimana, ulinzi uliokuwepo air port ulikuwa hafifu na wala wakati ule hawakutaraji kama tukio lile lingeweza kutokea USIKU ule.

Bado ninasisitiza kuwa Kagame aliwatoa kafara ndugu zake bila kujua kwa ajili ya uroho wa madaraka, kwa hiyo asipige kelele na manung'uniko juu ya "the genocide" Yeye (RPF) ndiyo chanzo (the cause).

Maskini, roho moja ya Habyarimana imeponza roho million za watu wasiyo na hatia, kisa tu KUONDOA MADARAKANI UTAWALA WA WAHUTU.

Jambo kama hilo Kagame anajaribu kuliingiza Burundi, na hii ndiyo shida ya Watutsi.
 
Mkuu, unajitahidi Sana kujitetea , lakin nahis na wewe unahusika kwenye hayo mauwaji

Wee utakuwa interahamwe
 
Nilipofika Kigali nilimdharau sana Kagame na kuwashangaa watanzania kwa kutojivunia nchi yenye Maziwa na Asali tuliyojaaliwa.
Kifupi; Kigali bado sana kwa kila namna labda kidogo usafi. Hizo story tunazodanganyana huku kwetu kuhusu Rwanda na Kagame ni propaganda tu za wanyarwanda na tabia yao ya kujivunia chao lkn kiuhalisia wana maisha magumu mno.
Hujafika Kigali wewe, labda ulifika bujumbura ukadanyanywa ndio Kigali
 
Mkuu, unajitahidi Sana kujitetea , lakin nahis na wewe unahusika kwenye hayo mauwaji

Wee utakuwa interahamwe

Wewe bila shaka utakuwa Mtutsi tu, kwani jina linajionyesha MAHORO.

Umesikia, Watutsi wanayo historia kabla mipaka hajawekwa na wazungu katika maeneo ya maziwa makuu, watutsi wapo, Rwanda, Burundi,Kongo Drc, Uganda, mikoa ya kagera, kigoma, katavi, Rukwa, Ukija hadi Tabora, Shinyanga nk kuna "traces" za damu za watutsi kwa mbali, wakoloni walipoweka mipaka sehemu kubwa ya Watutsi ikabaki Rwanda na Burundi, sehemu ya Ujiji -kigoma kuna mtaa unaitwa "Barabara ya Rusimbi" huyu Rusimbi alikuwa ni chief wa Kitutsi katika eneo hilo, hata mimi ninayo damu ya kitutsi "to my maternal side"-- kwa hiyo siwasemi Watutsi kwa chuki lakini ninasema ukweli, wao wamezidi katika tamaa za madaraka na ukubwa sababu iliyopelekea wajomba zangu Watutsi kuuawa huko Rwanda.
 
Ila hiyo ya uroho wa madaraka siyo sahihi Bali Ni spirit iliyojengeka tangu mwanzo kwakuwa waliumbwa kwa ajili kutawala na siyo kutawaliwa , chunguza wami wengi wa zamani Ni watutsi
 
Back
Top Bottom