Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Eti kagame kamaliza tofauti za kikabila! Wakati Rwanda ina kabila moja tu la kinyarwanda. Watutsi na wahutu ni koo za kabila moja.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Labda kwanza utueleze tuna sababu gani kumpenda Kagame in the first place?! kwanza hatuhusu na sio kiongozi wetu, Nje ya maendeleo hayo unayozungumzia aliyoleta Rwanda ambayo ni purely cosmetic; Rwanda bado ni kanchi ambako wananchi wake ni masikini sana kama majirani zake, kagame kajitajirisha at the expense of his fellow citizens; hana tofauti na Gadafi na viongozi wengi wa kiafrika na dunia ya tatu! Tangu aingie madarakani taarifa zinazotrend kila siku; kila mwaka ni uporaji wa raslimali za nchi jirani DRC, Uganda, Burundi na Tanzania, kufadhili uasi katika nchi majirani; na ana bahati hajawahi kufikiria kutuvamia Tanzania angekiona kilichomnyoa Idi Amin manyoya! kusigina haki za binadamu na kuangamiza wapinzani; (Jaribio la kumuuua Gen kayumba Nyamwasa na mauaji ya mkuu wa intelijensia wa Rwanda, mashtaka dhidi ya Vitoire Ingabire na Binti mgombea urais na mama yake majuzi), mauaji ya waandishi wa habari, wapinzani; na mbaya kabisa watanzania wengi tunafikiri "he has been a bad influence" kwenye uongozi wa nchi yetu; maovu yake mengi yanaelekea kuigwa hapa kwetu! kwa nini tumpende?! hata leo hii Burundi wamelalamika kuhusu hila zake dhidi ya nchi yao na Uganda hali kadhalika; bila kusahau aliwahi kumtishia maisha hadharani Rais wetu mstaafu Kikwete! Now tell us tuna sababu gani ya kumpenda Paulo Kagame au wala hata kumzungumzia vizuri au kumsifia kwa lipi?!
 
Kagame is overated I don't know why?
Kagame is overrated by a group of state sponsored "spinners" and a few sycophants like our own Musiba in Tz. nothing else! otherwise he is a paranoid tyranyt like many others in Africa.
 
Wewe ni Mtanzania wa wapi!!??
Huyo Kagame ni mwuaji! Mshtakiwa namba 1 katika mauaji ya kimbari 1994!!
Ameua wapinzani wake akina Karegeya SA. Ndo mvurugaji mkubwa wa mani DRC na Burundi!! Amejitahidi sana kuleta chokochoko na Tanzania na dawa yake ipo inapata kaubaridi frijini!
 
Kwa jiografia ya nchi yake anastahili kufanya yote hayo. Rwanda sawa na mkoa wa Morogoro tu, watu wanaisifia sana rwanda kama wameshawahi fika, mji mzuri ni kigali tu kwingine kote majanga. Idadi wa watu wake kuwapa laptop inawezekana tu, Tanzania ni kubwa kieneo fikiria juhudi zilizofanyika mpaka sasa kuunganisha mikoa yote kwa rami si mchezo. Sasa kanchi kama rwanda kukapiga rami kote si dakika tu kama ndo ingekuwa Tz.Tanzania ni kila kitu kwa Afrika Mashariki na Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ndo nchi yenye ushawishi wa hali ya juu katika nchi nyingi za Afrika. Usiichukulie Tz kirahisi ivyo ufhaniavyo, system ya Tz ipo vizuri sana kwa usalama wa nchi
 
We mnyarwanda tu lasivyo huwezi anzisha uzi wa kumsifia PAKA hapa kirahirahisi hivyo.

R.I.P Rev Mtikila,Prof Jwani and others.
Slim alitoa roho Prof Mwaikusa , Mtikila yaani Mh wa sasa angekubado JK au Bernard saa izi ningekua Kigali ,Rwanda ikiwa tayari mkoa wa Tz
 
Slim alitoa roho Prof Mwaikusa , Mtikila yaani Mh wa sasa angekubado JK au Bernard saa izi ningekua Kigali ,Rwanda ikiwa tayari mkoa wa Tz
Unajua lkn Huyo Mtikila alisema serikali ndio imeua rafiki yake Prof. Mwaikusa?Habari kamili hii hapa.

MTIKILA:SERIKALI "ILIMMALIZA" PROF MWAIKUSA.

Awali iliripotiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete alitarajiwa kushiriki kwenye mazishi ya Mwaikusa, ambaye amefanya kazi ya uhadhiri mwandamizi wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa muda mrefu.

Kutoonekana kwa viongozi wa serikali kwenye mazishi yake kumeshtua wengi, hasa baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliofika nyumbani kwa Profesa Mwaikusa kuhudhuria mazishi yake

Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, alisema ameshangazwa kwa hatua ya serikali kushindwa kuhudhuria mazishi ya Profesa Mwaikusa, kwani ameuawa akiwa bado mtumishi wa serikali.

Kwanza ukiangalia tukio zima, si rahisi kukwepa kuhudhuria mazishi ya Profesa Mwaikusa, pia alikuwa mfanyakazi wa serikali hadi mauti yalipomfika, iweje sasa hawa wenzetu wa serikali washindwe kuhudhuria shughuli hii muhimu? alihoji Profesa Lipumba.

Alisema umakini wa Profesa Mwaikusa katika utendaji kazi enzi za uhai wake, kumesaidia nchi kupiga hatua kwenye mambo mbalimbali, hivyo serikali kushidwa kuhudhuria mazishi yake ni jambo la kushangaza.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, alisema hakutarajia kutowaona viongozi wa serikali katika mazishi ya msomi huyo, kwani kwa namna moja au nyingine wanahusika na mauaji yake.

Hawawezi kuja hapa, yeye ndiye alishiriki katika kesi ya mgombea binafsi, na hawa ndio waliohusika na mauaji yake, alisema Mchungaji Mtikila bila kufafanua.

Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Issa Shivji, alisema haijawahi kutokea kwa serikali kushindwa kuleta hata mwakilishi wake kwa msiba wa aina hiyo, hasa ukizingatia kuwa Profesa Mwaikusa alikuwa
mfanyakazi wa serikali.

Source: Tanzania Daima
 
Wewe ni Mtanzania wa wapi!!??
Huyo Kagame ni mwuaji! Mshtakiwa namba 1 katika mauaji ya kimbari 1994!!
Ameua wapinzani wake akina Karegeya SA. Ndo mvurugaji mkubwa wa mani DRC na Burundi!! Amejitahidi sana kuleta chokochoko na Tanzania na dawa yake ipo inapata kaubaridi frijini!
Haiwezekani, na naungana na wewe
 
Write your reply...
hivi kumbe Rwanda ina maendeleo!!!
Rwanda hii hii ninayoijua mimi?? au kuna rwanda nyingine...

halafu mtoa inabidi urudi kwenu sasa, maana toka ukimbie kwenu enzi za kimbari..
 
Kiswahili tumejifunza ukubwani , tumekulia kijijini huko ambapo tulikuwa tunaongea kiluga Cya kabira letu , ukionekana unaongea kiswahili watu wanakuokopa Sana
shiiit...
fanya mpango urudi kwenu,tumewasaidia vya kutosha mmeanza kuleta dharau..
 
now kila mtu anawaza uchumi

swala la tz kumpiga slim sio jepesi kihivyo mtaumia saana
kagame ni matako tu,ana nini cha ajabu..!!
hadi leo hii Mr pencil hataki hata kulisikia tu jina la mkwere,alimfanyia kitu mbaya akawa anaishi ka digidigi..
tunajua mashushushu wa kagame mpo wengi Tanzania hii lakini tuna-deal na nyinyi kimyakimya..
 
Nilipofika Kigali nilimdharau sana Kagame na kuwashangaa watanzania kwa kutojivunia nchi yenye Maziwa na Asali tuliyojaaliwa.
Kifupi; Kigali bado sana kwa kila namna labda kidogo usafi. Hizo story tunazodanganyana huku kwetu kuhusu Rwanda na Kagame ni propaganda tu za wanyarwanda na tabia yao ya kujivunia chao lkn kiuhalisia wana maisha magumu mno.
hahaaaaa mkuu hapa mi mwenyewe nimepatwa na mshangao,niliposoma eti Rwanda ina maendeleo...Rwanda hii nayoijua mimi,au kuna rwanda nyingine!
 
Huenda mengine umeongea afadhalinkidogo ,ila umekosea zaidi kwamba aongoze milele ,, hivi unafikiri hakuna na akutakuwa na kiongozi mzuri mzuri Rwanda??
 
Back
Top Bottom