Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Up
Achana na hao FDLR. Kagame ni rais bora Afrika kwa sasa.

Hao FDLR wana ham ya kufanya mauaji mengine ya kimbari lakini hawatapata nafasi. Viva Rwanda.[/QUOTE
Kabisa mkuu, hao wanaomchujia kagàme Ni interahamwe
 
Kagame anaiba wanyamapori wetu anapeleka kwenye mbuga ya akagera ya Rwanda
Kama anaiba kwa ajili ya inchi yake , huyo ni shujaa,

Na Hadi anaiba , tz iko wapi , inamaana bado tumelala
 
Nimekubali kweli Paul wawanyarwanda amefanya kitu kubwa kwa nchi yake, lakini usisahau na vitu aliyewafanyia yile miaka ya 90.
kwa mfano, mimi simpendi kwa sababu alikua anafanya genocide ya 94.
chochote atawafanyia, ni kizuli kwa mda wa sasa akibaki kicwani kwa serikali ya rwanda, nathani kwamba akibadilishwa mwaka mmoja atarudi na kauli yake ya 1994.
 
Hiyo genocide hakuifanya yeye , waliifanya FDLR yaàni mainterahamwe , hivi inaingia akikini yeye aue kabira lake Kweli ??

Hào Ni wafaransa na wabelgiji wanamchafua tu
 
Lakini kusema ukweli jamaa n mjanja sana, anaipenda nchi yake, kapandikiza vibaraka kila sehem, nilishangaa siku moja huko Rufiji kuna jamaa anajifanya mkulima wa mihogo Ikwiriri lakini kasoma hadi chuo kuuliza uraia wake na asili ya jina lake ni Mnyarwanda pure nikajiuliza inakuaje mnyarwanda analima tena mihogo porini anatafuta nini kama si u spy... halafu wengi wao wameoa wabongo ili tu kutupeleleza sisi
 
Waulize wakongo wakwambie mabaya yake manake umeandika porojo nyingi sana za pauka pakawa. Wazungu pia wanajua Tanzania ni nchi yenye amani, raia wake waaminifu, wakarimu, wanapendana, hawana chuki..bla bla...Njoo Tz uone! Kagame hakusikika sana midomoni mwetu miaka ya nyuma na watu wengi hatukutaka kuju ishue zake. Alipo tuekea huyu mnyarwanda wake atuongoze ndio chuki ikaanza, mwambie amchukue huyu mnyarwanda wake ampe hata uenyekiti wa mtaa huko kigali.
 
Nawaomba watanzania wenzangu , tuache chuki binafsi juu ya Paul Kagàme , acha achape kazi kwa ajili ya watu wake ,

Acheni chuki za kipuuzi
Mkuu napenda uandishi wako, unatusihi tuache chuki na tumpende PK na hapo hapo unatuona sisi "wapuuzi" (afanyae vitu vya kipuuzi ni mpuuzi). Sijui kama "wapuuzi" hawa watakuelewa.
 
pesa za wizi wa madini Congo,nchi haiuzi hata toothpick inatoa wapi pesa
 
Bila shaka we ni miongoni mwa waliopenyezwa kwa hiyo unafanya kazi yako uliyotumwa na babako ya kumtetea! Hitler alikuwa dikteta na alikuwa anapendwa lkn majirani zake walikuwa hawamtaki. kagame amekuwa hitler mpya anachonganisha huku na huku, DRC yupo na ADF na burundi pia analaumiwa huyo huyo na tayari kesha piga hodi kwetu. Au furaha yako ni kuona tunakuwa kama congo? Mwambie aache na wewe uache mara moja njama zako zimejulikana.
 
Maendeleo ya rwanda linganisha na mkoa wa dar pekee nayo ipo juu sana tuu! kainchi kama wilaya bado mnalinganisha na nchi kama yetu, ni aibu kweli.
 
Rwanda maendeleo yake yanahitaji msaada wetu kuliko tunavyo wahitaji wao.
 
Kama anaiba kwa ajili ya inchi yake , huyo ni shujaa,

Na Hadi anaiba , tz iko wapi , inamaana bado tumelala
wewe ni mnyaru jitambulishe kwa nchi yako sio nchi za wenzako! unataja Tanzania lakn moyo unauma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…