Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

Kwanini Kagame anachukiwa sana humu JF?

huyu jamaa ni kweli kwa kiwango kikubwa anajitahidi kuwaletea wananchi wake maendeleo kwani kafikia hatua hata ya kuwapatia ng'ombe wa kisasa na mabati ya kuezekea nyumba zao ila kinachomfanya watu wamseme vibaya ni kwa sababu ya staili ya uongozi wake inamtengenezea maadui wengi
 
Tofauti ya stone mentor hana chuki na matajiri anaiba Congo kuwalisha watu wake,asomeshi watu wake namba, hana roho ya kimasikini,kawajengea nyumba za Kisasa watu wake kisha ndo kawahamisha milimani wasiharibu mazingira,shida kuu ukitaka kumuondoa kwenye kiti hakuna Rangi utoacha kuiona.Ujue tu kula na kipofu.Tofauti na student wake wote mnalia si tajiri masikini, kada wafadhili.
 
Amahoro meza chane kumbe ni poti wake
Kweli kabisa , hizi Ni chuki tu binafsi na wivu uliopitiliza , nashangaa sioni wakimutukana Nkurunziza au kumukosoa kwa Mambo yake , why always kagàme and rwanda ?

Waiache Rwanda , wao mbona hawaiongelei tz Kama ss tunavyoiongelea ??
 
Kwani mtikila breki nati zililegezwa au sababu speed na hakufunga mkanda
We mnyarwanda tu lasivyo huwezi anzisha uzi wa kumsifia PAKA hapa kirahirahisi hivyo.

R.I.P Rev Mtikila,Prof Jwani and others.
 
hakika mrejesho mmeupata. uzuri watanzania ni wambeya sana , tunapenda sana kuulizana siku za matambiko.hivyo wote tunajuan, timing tu haijafika ya kuanza kunyosheana vidole.
 
huyu jamaa ni kweli kwa kiwango kikubwa anajitahidi kuwaletea wananchi wake maendeleo kwani kafikia hatua hata ya kuwapatia ng'ombe wa kisasa na mabati ya kuezekea nyumba zao ila kinachomfanya watu wamseme vibaya ni kwa sababu ya staili ya uongozi wake inamtengenezea maadui wengi
Hào maadui Ni wachache Sana kuliko wanaomupenda , kumbuka ile inchi in historia mbaya Sana
 
Back
Top Bottom